Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili suala la placement kutolewa mwezi ujao bwana Mlumbi umekua ukilisisitiza sana. Ni zaidi ya mara sita au saba nimeona ukiyanena haya.
Imani yangu inanipa hivyo tusubiri mwezi ujao mzee mwezi huu sidhani kama zitatoka zile za before September lakini tulizofanya September ni mwezi ujao
 
Yaani ukiwasha data, unaingia website ya ajira. Ukiona hakuna Jambo unaingia ajira portal, nako ukiona hakueleweki, unakuja jamiiforums wakina wizy wakuchanganye vizuriπŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Oya umeandikiwa not selected au?kama ni hivyo jua baba jeni bye bye mzee hahhh
 
Yaani ukiwasha data, unaingia website ya ajira. Ukiona hakuna Jambo unaingia ajira portal, nako ukiona hakueleweki, unakuja jamiiforums wakina wizy wakuchanganye vizuri[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwendo nimeumaliza vita nimeishindwa tukutane mikando mingine🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kabisa umepigana vita vikuu vyakumshinda Goliath lakini like jiwe limemkosa sasa kilichobaki hapo ni speed yako yakukimbia ndo itakuokoa hahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…