Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tena maandishi mekundu๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Unaona sasa Yani mtandao uyumbe kwako tu afu namaandishi yawe mekundu kwako tu pekeako aseeh hapo Kuna namna kwanini usiyumbe kwa wenzio sasa?haya tufanye mtandao umeyumba sasa ndo ibaki selected for oral Kwamba wewe umeishia oral tu huko kunakoendelea kwenye kazi hawajakuona na huhusiki?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huko kwenye web shortlisted
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ukiyaona tu unasema ndo yamekuwa haya tena hata kama umeyumba ndo not selected tena nyekundu
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ