makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Na taasisi nyingi zinahitaji watu ambao vibali vyao vipo mezani kwao ambao watu wapo kwe kanzi dataHapo wana placement za october na nov kama zote
Wanasubiri wazipost february
ππππSubira kwenye hakuna ?Yani umekaa unasubiri pdf afu unakuja sikia watu wamepigiwa simu pumbavu kabisaSubira ipi kaka π€£
Utumishi wanazingua sanaNa taasisi nyingi zinahitaji watu ambao vibali vyao vipo mezani kwao ambao watu wapo kwe kanzi data
πππππHahhhhhSawa sasa marehemu amefariki tangu mwezi uliyopita ww unasema leo umemuona umemuona wapi,,,,? ππ
Bora hata wasingetoa tu placement ingendekea kuwafanya watu wamini hata visivyo aminikaππππSubira kwenye hakuna ?Yani umekaa unasubiri pdf afu unakuja sikia watu wamepigiwa simu pumbavu kabisa
Uhalisia huko serkalini nafsi ni nying sana mtu mmoja anafnya majukumu ya watu mpk 3Na taasisi nyingi zinahitaji watu ambao vibali vyao vipo mezani kwao ambao watu wapo kwe kanzi data
mimi sijajuua ila nina classmate wangu analamba Asali Muce..Sasa ishu ni kwanini wapigie watu simu wakati utaratibu ni kupost kwenye website huo Kwamba kama Mimi ndo nna mamlaka naweza kumpigia hata demu wangu aje afanye kazi
Leo wanaweka placement ya watu waliokuwa tayari hadi mishaharaUhal
Uhalisia huko serkalini nafsi ni nying sana mtu mmoja anafnya majukumu ya watu mpk 3
Hii placement wangebaki nayo tu na kama wapo humu Bora waifute inafanya watu tuone utumishi hamna uwajibikaji aseeh mambo zakupigiana simu ni ujingaBora hata wasingetoa tu placement ingendekea kuwafanya watu wamini hata visivyo aminika
Kwa kweli kwa ajira za serkln utartbu wa kupiga simu sio mzr unaleta sintofahamu na walakin kubwaHii placement wangebaki nayo tu na kama wapo humu Bora waifute inafanya watu tuone utumishi hamna uwajibikaji aseeh mambo zakupigiana simu ni ujinga
Sahihi inawavunja mno watu moyo ukiangalia wengine wapo kusubiri saili mbali mbali zijazoHii placement wangebaki nayo tu na kama wapo humu Bora waifute inafanya watu tuone utumishi hamna uwajibikaji aseeh mambo zakupigiana simu ni ujinga
Kwa hizi mishe zao sasa watakatisha watu tamaa zakufanya interviewmimi sijajuua ila nina classmate wangu analamba Asali Muce..
Inakatisha tamaa Yani ndo nawaza nasubiri placement afu ukute washawapigia watu simu Kwahiyo wapo kazini aloohKwa
Kwa kweli kwa ajira za serkln utartbu wa kupiga simu sio mzr unaleta sintofahamu na walakin kubwa
hahahhaa mkuu hmna taasisi ya government kwa sasa inayofanya kazi kwa weredi.. role model wao ni NIDA.Kwa hizi mishe zao sasa watakatisha watu tamaa zakufanya interview
ππππKwamba role model wao hahhhhhahahhaa mkuu hmna taasisi ya government kwa sasa inayofanya kazi kwa weredi.. role model wao ni NIDA.
Yule si kashindikana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba role model wao hahhhh
πππInaleta ukakasi sana hii Yani mwezi ushapita ndo wanaileta leo na watu wapo kazini sasa haikuwa na haja wao kuzitangaza hizi post wangeacha chuo kitangaze chenyewe kiendeshe mambo yake tu kuliko watu wanaomba wakitumaini utumishi itasimamia na kutenda haki na protocol zote kufatwa lakini imeanza kupigiana simuTaasisis kubwa inayosimamia watendaji na watumishi wa serikali inaleta kitu kilichopita hivi hawakupitia au ipo vipi
πππππHahhhhYule si kashindikana [emoji28][emoji28][emoji28]