Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Taasisis kubwa inayosimamia watendaji na watumishi wa serikali inaleta kitu kilichopita hivi hawakupitia au ipo vipi
😂😂😂Inaleta ukakasi sana hii Yani mwezi ushapita ndo wanaileta leo na watu wapo kazini sasa haikuwa na haja wao kuzitangaza hizi post wangeacha chuo kitangaze chenyewe kiendeshe mambo yake tu kuliko watu wanaomba wakitumaini utumishi itasimamia na kutenda haki na protocol zote kufatwa lakini imeanza kupigiana simu
 
Back
Top Bottom