Yes yani aombe akutane na secretary wakike hapo hawezi kumgomeaMie show nilikuw naianzia getini
Nakuwa mcheshi Unyunyu mkali
Naingia nacheka nao vzr hata kama wapo serious ntahakikisha naweka ucheshi kidogo then naaanza nao wale kuwapeleleza infrastructure zikoje ndan nataka kuonana na flan yupo? au nauliz na ratiba zake kbs then nasonga mbele nikiingia reception nikimkuta mdada aah ndio kwisha kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukitaka huu Uzi uchangamke zitoke placement bwana[emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio agenda zenyewe hizo.
Shortlists, Calls, Placements
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakodoa kwanza macho broo,alafu unaongeza mwanga wa simu..ukimaliza una log out Kisha una log in..baada ya hapo unarefresh page kwanza [emoji1787] unarudia mara kadhaa kurefresh unalog out Tena then in..unabaki palepale kwenye page unaitazama huku unatafakarii..baada ya muda unaanza kujifariji Haikua rizki bwana,labda Kuna kitu Mungu kaniepushia. Au labda Kuna kitu kizuri kikubwa kaniandalia..hamna bwana labda mfumo imecheza...Aaah basi bwana kwani Mimi wa kwanzaaa...I played my part nifanyeje sasa Iko nje ya uwezo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zoezi Hilo ni kama lisaa hvi basi baada ya hapo unavuka unachapa mwendo..nahisi wenzangu wale wapo kwenye huu Uzi maana baada ya Ile mada ya status kwenye app wakanichek kwa mpigo wote not selected wamevurugwa wakati huo mi nishakaa sawa tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..hope umepata experience bwana Mvuta mrija wa asali to be
Ili ionekane hii(ya MUCE) ilisahaulika ilihali watu wapo kazini? Tungehoji wamefikaje kazini bila kujua kama walifauluTena kuua Soo Bora wangemealizia na placement zingine mpya
Usisahau kunuweka Mungu mbele unakuta mambo mepesi no complicationsPoa poa mkuu ngoja tujaribu asee naandaa docs na letters za kutosha nikianza kuzurula na boda boda nahakikisha nimepitia sehemu za kutosha asee.
ππππKijana wangu wa not selected kumbe una akili tu ,tuishi humo aseeh Mungu akikupangia jambo hata liwe gumu vipi linafanyika kwa njia usiyoitegemeaUsisahau kunuweka Mungu mbele unakuta mambo mepesi no complications
Si Wakuteke basi π€£π€£π€£π€£Baba jeni bye bye hapo hakuna job umeishia oralππππππππ
Poa poa mkuuNenda tobacco pia muombe Mungu mzee
AmenπUsisahau kunuweka Mungu mbele unakuta mambo mepesi no complications
ππππππHahhhhh nawewe not selected tena maandishi mekundu aseeh mwendo umeumaliza na vita imekushindaSi Wakuteke basi π€£π€£π€£π€£
Mimi nlilia humu hadi watu wakanizodoa nkiwaambia kuna watu wanapigiwa simu watu wakataka niua na mawe. Bora mnajionea[emoji23]Sema hapo kwenye kupigiana simu daaah wanatupa hasira sana yani kama Ahmet alipanda basi mpaka iringa afu akasubiri pdf anakuja kusikia kuna watu wamepigiwa simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee baba mimi niko selected for oral sijui nimewakosea nn badala niwe selected for job
Kuna moja nilishuhudia jamaa anapigiwa simu lakini hii ya muce imeniuma sana Yani mtu anasubiri placement afu watu washapigiwa muda tu leo wanakuja kupost yanini na wakati huo ndugu yangu Ahmet anasubiri pdf lisilo na maana hizi dharauMimi nlilia humu hadi watu wakanizodoa nkiwaambia kuna watu wanapigiwa simu watu wakataka niua na mawe. Bora mnajionea[emoji23]
ππππHiyo tunasema baba jeni bye bye kijana wangu mwendo ameumaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huenda watu washapigiwa simu kama MUCE huko
Huu upuuzi wa kupigiana simu, endapo ukitokea kwenye hii oral yangu juzi, nitafunga safari hadi ofisini kwao wakanieleze na nitaomba matokeo yangu ya oral ili nijue jinsi walivyonikandaMimi nlilia humu hadi watu wakanizodoa nkiwaambia kuna watu wanapigiwa simu watu wakataka niua na mawe. Bora mnajionea[emoji23]
,ππππHata mimi Yani wasijaribu kujichanganyaHuu upuuzi wa kupigiana simu, endapo ukitokea kwenye hii oral yangu juzi, nitafunga safari hadi ofisini kwao wakanieleze na nitaomba matokeo yangu ya oral ili nijue jinsi walivyonikanda
Miyeyusho sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo tunasema baba jeni bye bye kijana wangu mwendo ameumaliza
Wamenijeruhi kwa mikando mfululizo halafu nilipopiga counter attack waweke mpira kwapani, patachimbika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi Yani wasijaribu kujichanganya
ππππWataenda kueleza tu huo utaratibu wakupiga simu wameuanza lini wakati kwenye tangazo hawakusema watatupigiaWamenijeruhi kwa mikando mfululizo halafu nilipopiga counter attack waweke mpira kwapani, patachimbika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]