Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Hamna watu wanaogopa kuwaudhi maboss wao kama walinzi,sidhani mama atalikubali hiloYani Kuna option moja labda umpange mlinzi umwambie ukweli then ampigie simu manager amuombe kuwa Kuna mgeni wake ili akuruhusu kama mlinzi atakuwa muelewa atakupeleka utaonana nae
Sema shida ndo hapo Yani unakuta boss anamwambia usiruhusu mtu ambae sijakwambia Nina appointment naeHamna watu wanaogopa kuwaudhi maboss wao kama walinzi,sidhani mama atalikubali hilo
Tukifanya hivi wataacha huu upuzi wa kupigia simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wataenda kueleza tu huo utaratibu wakupiga simu wameuanza lini wakati kwenye tangazo hawakusema watatupigia
🤣🤣🤣🤣🤣Sio akili tuu,nna Imani na mipango ya Mungu kwelikweli😂😂😂😂Kijana wangu wa not selected kumbe una akili tu ,tuishi humo aseeh Mungu akikupangia jambo hata liwe gumu vipi linafanyika kwa njia usiyoitegemea
Kabisa kabisaTukifanya hivi wataacha huu upuzi wa kupigia simu
😂😂😂😂Hahhhhh sio ulivyoona not selected ndo maombi yakaanza au?🤣🤣🤣🤣🤣Sio akili tuu,nna Imani na mipango ya Mungu kwelikweli
Niliona aisee ulishambuliwaMimi nlilia humu hadi watu wakanizodoa nkiwaambia kuna watu wanapigiwa simu watu wakataka niua na mawe. Bora mnajionea[emoji23]
😂😂😂😂Unajua hii leo ndo nimeamini inaumiza Yani nimewaza ndo nasubiri pdf afu ukute washspigia watu simu aloohNiliona aisee ulishambuliwa
Kabla hata sijaaply mzee🤣😂😂😂😂Hahhhhh sio ulivyoona not selected ndo maombi yakaanza au?
😂😂😂😂Basi tuwe na imani hakuna kinachoshindikanaKabla hata sijaaply mzee🤣
😂😂😂😂tunakuja kumalizia hasira zetu huku za ajiraTulale tu, ukisena uwaze ajira unaweza weuka
Ameen kaka😂😂😂😂Basi tuwe na imani hakuna kinachoshindikana
Kwani ukifuata taratibu haiwezekani mpaka mtu uangaike kuvunja Sheria ? Na kuingia kinyemela ? Halafu mtu kama alishatoa maelekezo pale nje kwamba hataki barua yoyote hata ukiipeleka ndani ni kazi Bure.Hamna watu wanaogopa kuwaudhi maboss wao kama walinzi,sidhani mama atalikubali hilo
Muhas wamerudia tangazo lile ambalo waliwakanda wasailiwa wote, kama sijakosea Ahmet nadhani ulifanya hii ebu jaribu tena manaa ushapata uzoefu wa maswali yao. Tena nakumbuka waliita oral tu haikuwa na mchujo.Kwani ukifuata taratibu haiwezekani mpaka mtu uangaike kuvunja Sheria ? Na kuingia kinyemela ? Halafu mtu kama alishatoa maelekezo pale nje kwamba hataki barua yoyote hata ukiipeleka ndani ni kazi Bure.
Fani yangu haipo hapo, kwasababu watu walishapatikana
Kwahyo Ahmet Status inasemaje sasa hv kwa upande wa MUCE?Fani yangu haipo hapo, kwasababu watu walishapatikana
Wanawasaka hao candidates kwa udi na uvumba, utashangaa kabla mwaka haujapinduka watu watakuwa washaitwa kaziniMuhas wamerudia tangazo lile ambalo waliwakanda wasailiwa wote, kama sijakosea Ahmet nadhani ulifanya hii ebu jaribu tena manaa ushapata uzoefu wa maswali yao. Tena nakumbuka waliita oral tu haikuwa na mchujo.