Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yani Kuna option moja labda umpange mlinzi umwambie ukweli then ampigie simu manager amuombe kuwa Kuna mgeni wake ili akuruhusu kama mlinzi atakuwa muelewa atakupeleka utaonana nae
Hamna watu wanaogopa kuwaudhi maboss wao kama walinzi,sidhani mama atalikubali hilo
 
Kwani ukifuata taratibu haiwezekani mpaka mtu uangaike kuvunja Sheria ? Na kuingia kinyemela ? Halafu mtu kama alishatoa maelekezo pale nje kwamba hataki barua yoyote hata ukiipeleka ndani ni kazi Bure.
Muhas wamerudia tangazo lile ambalo waliwakanda wasailiwa wote, kama sijakosea Ahmet nadhani ulifanya hii ebu jaribu tena manaa ushapata uzoefu wa maswali yao. Tena nakumbuka waliita oral tu haikuwa na mchujo.
 
Ahmet Mwifwa hii ni yenyu kabisa hii
 
Attachments

Muhas wamerudia tangazo lile ambalo waliwakanda wasailiwa wote, kama sijakosea Ahmet nadhani ulifanya hii ebu jaribu tena manaa ushapata uzoefu wa maswali yao. Tena nakumbuka waliita oral tu haikuwa na mchujo.
Wanawasaka hao candidates kwa udi na uvumba, utashangaa kabla mwaka haujapinduka watu watakuwa washaitwa kazini
 
Back
Top Bottom