Kama hao waliwahi kushiriki 2020 na wakashiriki tena mwka huu, halafu wakatunyima japo kutuambia pepa inadeal na mambo ya career ya kila mmoja na kidogo kuhusu ukaguzi, basi wamekuwa wachoyo.Kabisa, kuna raia hizo hizo post za NAOT walishiriki mwaka 2020, na mwaka huu pia lakini si ajabu zote mtu akashindwa kuingia hata oral.
Hubadilika sana, jamaa wa HESLB hapo juzi wameshuhudia, zile roles wameambiwa wataje tatu na kuelezea mifano yake, ni mode mpya kabisaa. Watu walishazoea kuambiwa wa-mention tu hizo role, wakawa wanashuka kama zilivyoelezwa katika tangazo.
Hapa mambo basics ni kama idadi ya maswali, muda wa kufanya hiyo pepa na hizo kujibu short ana clear direct to the point na maelezo machache kama yakihitajika.Ambayo hayabadiliki "basics" inatarajiwa kila mtu amefundishwa collage katika communication skills. Namna ya kuandaa application letter na hata basics za usahili.
Cbe nadhani tayari ila kimya kimya kuna walimu wapya wengi sana sa hiviBadoo hizo Mwalim nyerere CBE wote hao bado
Kweli hata mimi mdh tuliingia oral watu 14 watatu walikua wadada,wadada wote walitoboa wanaume wakachukuliwa watatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani ukishaona mwanamke mpo nae ujue hapo hamna chenu nakumbuka oral moja tuiingiaga watu 11 kati yetu alikuepo mdada mmoja nandiye aliyepata kazi sema kwa nilivyopigaga nae story wala hakuwa na uwezo mkubwa maana Kuna maswali aliniulizaga afu niyakawaida tu ambayo yeye alikuwa hayaelewi
Hongera sana na mungu atakifanikishia hii ulambe asaliNimeionja kimasihara aisee, ilikuwa imebaki hiyo tu ndio nikabahatika kufika oral
Nafasi 6 kaka
Jumaanne inakaribia wadau wenye suti waendelee kupiga pasi
Kweli mzee me naamini huwa wanatucheki tu afu wanatupotezea wanaangalia tunavyohangaikaKila mwaka watu wanapiga mikando Utumishi ila kutoa muongozo humu hakuna.
Jana nilikuwa naperuzi placements za mwaka 2020, nikakuta wapo wanalamba Asali NAOT(watu wa CPA na ICT) tangu August mwaka huo, na placement yao haikucheleweshwa sana(written ilikuwa May, placement June, kazini August) huenda PSRS ilikuwa haijatingwa kama sasa.
Pamoja na ofisi hiyo kuwa busy ila hatujawahi kusikia miongozo ya mikando kutoka kwa watu kama hao waliopitia mikando.
Japo watu wanaweza wakawa busy pia na mambo ya kukuza uchumi binafsi ila hilo haliwezi kuniaminisha kuwa hawapo humu JF.
Chonde chonde tukipata asali kupitia humu, tuendelee kutoa miongozo kwa wengine.
Haya mambo utumishi wanzngua sn ss kwni wakiweka public kila mtu aone waliopta kz ttzo nnCbe nadhani tayari ila kimya kimya kuna walimu wapya wengi sana sa hivi
Unajua hapa sio lazima akwambia labda utakuta maswali haya ,lakini kinachotakiwa tupate hata maswali yanatokaje huwezi amini mimi interview yangu ya kwanza nilikuja kuuliza humu aseeh sikupata jibu lolote zaidi ya watu kunidisappoint kuwa natafuta mseleleko kwa bahati nikakomaa nikaingia oral sasa nimeingia oral sikujua maswali yanatokaje nikajiandaa na Yale maswali na what is your weakness, why we should hire you , Kwahiyo hata zile description sikuzisoma vizuri maana sikuwa na muongozo mzeeMambo yanaenda yakubadirika, na hata namna usahili unavoendeshwa na maswali yanavyokuja hubadilika badilika sana, tusiwe na mtazamo "negative" sana.
Kuna miaka ilikua ukiingia katika usahil kukutana na maswali ya research ni kawaida, naona mwaka huu imekua sivyo, wanasema kila usahili ni "experience mpya".
Kuna mdau alishawahi pandisha uzi akijaribu kujenga hoja kuwa namna sahili zinavyoendeshwa sasa, zinawabeba sana fresh from collages/universities kwa kuwa paper zinabase sana katika videsa. Kwa maana hiyo huwawia vigum wenye uzoefu mda mrefu kazini na waliomaliza shule kitambo kushindana katika pace sawa na freshers.
Na tukumbuke pia wengine huamini kuwa, "Mafanikio ni siri, na siri ndio mafanikio".
Sema tu tuambiane ukweli jf ni watu wachache sana wanatoaga msaada kwenye hizi ishu mzee ndo maana tunakwamaKabisa, kuna raia hizo hizo post za NAOT walishiriki mwaka 2020, na mwaka huu pia lakini si ajabu zote mtu akashindwa kuingia hata oral.
Hubadilika sana, jamaa wa HESLB hapo juzi wameshuhudia, zile roles wameambiwa wataje tatu na kuelezea mifano yake, ni mode mpya kabisaa. Watu walishazoea kuambiwa wa-mention tu hizo role, wakawa wanashuka kama zilivyoelezwa katika tangazo.
Yani barua yako yakuacha kazi inawahusu nini?na kwanini wasikumbie mshahara wako ,mzee kaa kitaalamu wangekupa mkataba usaini ndo ungeacha kule Kwahiyo Bora ubaki hapo ulipoHabari zenu wakuu, nlkua naomba nisikie mawazo yenu juu ya hili, japo ni nje kidogo ya mada wa uzi huu.
Nipo nafanya kazi na kampuni moja ivi, lkn bado naendelea pia kutafuta na sehem zingine ili kupata atleast sehemu nzuri zaidi.
Nikabahatika kuitwa na kampuni ingne for interview, nikaenda nikafanya, na wakanipigia tena simu kesho yake kuwa nimepata kazi na niende kwa ajili ya taratibu zingne.
Ikabidi niombe ruhusa oficin ya dharula niende, nilivyofika waliniambia vitu ambavyo itanibid nivipeleke kwa ajili ya kuopen file na moja ya ivyo vitu ni barua ya kuacha kazi sehem ambayo nipo sasa ivi. Nikaomba atleast wanionyeshe mkataba nione salary yao ikoje ila waligoma kabisa, nilijaribu kila mbinu atleast niweze kujua mshahara wao ukoje ikashindikana, na hawataki kunionyesha mkataba mpaka nipeleke ivyo vitu plus iyo barua ya kuacha kazi. Na ni kampuni kubwa tu hapa nchini.
Hii imekaaje wakuu?! Maana naogopa kurisk hapa nilipo sasa hivi, then nikafika kule nikakutana na mambo meusi.
Ntashukuru kwa mawazo yenu.
Hata mm naona niachane nao kiukwel, sijajua kwann waligoma kabisa kunionyesha mkataba.Yani barua yako yakuacha kazi inawahusu nini?na kwanini wasikumbie mshahara wako ,mzee kaa kitaalamu wangekupa mkataba usaini ndo ungeacha kule Kwahiyo Bora ubaki hapo ulipo
Kazi yoyote hulindwa na mkataba sasa kama ukiacha wakakuonesha mkataba kuwa watakulipa laki ,itakuwaje?Hata mm naona niachane nao kiukwel, sijajua kwann waligoma kabisa kunionyesha mkataba.
Achana nao hao, mpaka wakuonyeshe mkataba. Usijichanganye kabisa kupeleka barua ya kuacha kazi maana unaweza peleka zen wakakwambia uje uripot baada ya miezi 3...utaishije sasa? Lakini pia kama una wasiwasi labda dau lao kubwa unaweza ukawapelekea barua fake ya kuacha kazi wakishapokea uone wanasemaje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata mm naona niachane nao kiukwel, sijajua kwann waligoma kabisa kunionyesha mkataba.
Labda apeleke barua ya uongoAchana nao hao, mpaka wakuonyeshe mkataba. Usijichanganye kabisa kupeleka barua ya kuacha kazi maana unaweza peleka zen wakakwambia uje uripot baada ya miezi 3...utaishije sasa? Lakini pia kama una wasiwasi labda dau lao kubwa unaweza ukawapelekea barua fake ya kuacha kazi wakishapokea uone wanasemaje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nimeapa, endapo wakiita kwa simu kwa kada niliyoifanyia oral, nitawafuata huko kwenye ofisi zao wakanipe ufafanuzi
ππππHahaha! Mkuu hichi kiapo bado ni chepesi sana. Hebu fikiria namna ya kuja na kitu kizito zaidi.