Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

SEHEMU C: FASIHI
Eneo hili lina swali moja, ndugu jobless tafadhali lifanye kwa lazima sio ombi.

5. Msailiwa ni Yatima na Utumishi ni mzazi wa kambo.
Jadili kwa maneno yasiyozidi aftatu.

NB: Yatima hadeki na wala hana haki.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna post za TPA (Mamlaka ya bandari) wenye ndugu wenye sifa waombe. Vigezo ni form six uwe na division one au two. Combination Sayansi ...PCB, PCM, CBG, PGM, EGM . POST zipo 3, moja inahitaji watu 2, ya pili inataka watu 10 na ya tatu inataka watu 13 . Sifa na vigezo zote zinafanana....pia watakao penya kwenye mrija wa asali watapelekwa nje ya nchi kusoma. Kazi kwenu
 
Kudadeki au nikasome tena😂
 
Wamepost kwenye website yao mkuu?
 
Habari zenu wakuu, nlkua naomba nisikie mawazo yenu juu ya hili, japo ni nje kidogo ya mada wa uzi huu.
Nipo nafanya kazi na kampuni moja ivi, lkn bado naendelea pia kutafuta na sehem zingine ili kupata atleast sehemu nzuri zaidi.
Nikabahatika kuitwa na kampuni ingne for interview, nikaenda nikafanya, na wakanipigia tena simu kesho yake kuwa nimepata kazi na niende kwa ajili ya taratibu zingne.
Ikabidi niombe ruhusa oficin ya dharula niende, nilivyofika waliniambia vitu ambavyo itanibid nivipeleke kwa ajili ya kuopen file na moja ya ivyo vitu ni barua ya kuacha kazi sehem ambayo nipo sasa ivi. Nikaomba atleast wanionyeshe mkataba nione salary yao ikoje ila waligoma kabisa, nilijaribu kila mbinu atleast niweze kujua mshahara wao ukoje ikashindikana, na hawataki kunionyesha mkataba mpaka nipeleke ivyo vitu plus iyo barua ya kuacha kazi. Na ni kampuni kubwa tu hapa nchini.
Hii imekaaje wakuu?! Maana naogopa kurisk hapa nilipo sasa hivi, then nikafika kule nikakutana na mambo meusi.
Ntashukuru kwa mawazo yenu.

Mkuu, pole kwa changamoto. Kiuahalisia hiyo scenario ni ngumu, inaviashiria kwamba mkataba unaweza usikuvutie, pengine kwa kigezo cha mshahara au masharti mengine ya kazi. Kama mkataba unavutia, wasingesita kukuonyesha ili waweze kupata huduma yako.

Huo ulikuwa upande wa kwanza, wa pili inawezekana mkataba ni mzuri ila wenye mamlaka wamejaribu kila mbinu kuweka mtu wao ila imeshindikana na wewe ndiye umeonekana unasifa zaidi ya wengine walioiomba, wanachotaka kufanya nikukukatisha tamaa ili uachane nao, wapate kisingizio cha kuweka mtu wao.

Ambacho nashauri, usiwatumie maHr kuujua mshahara, watumie wafanyakazi wengine, hata walinzi, jenga nao urafiki ujue vima vya mishahara vya nafasi husika au hata nafasi nyingine ili uweze kukadiria nafasi yako inaweza kurange kiasi gani.

Kama Ofisi inamaisha magumu, kila mfanyakazi ni lazima yanamgusa na anatamani kuulizwa ili aropoke, kwa hiyo majibu utayapata tu.
 
Hahaha! Mkuu hichi kiapo bado ni chepesi sana. Hebu fikiria namna ya kuja na kitu kizito zaidi.
Hahahahaaa.
Labda tusepe na website/mfumo wao na tutoe placements kwa umma halafu tuwaombe mpunga mrefu ili tuuachie mfumo. Maana mfumo ukidukuliwa taarifa zao zote za utendaji zitakuwa kwenye risk na hawawezi kusema waignore na watafute mfumo mwingine waanze moja
 
Kuna post za TPA (Mamlaka ya bandari) wenye ndugu wenye sifa waombe. Vigezo ni form six uwe na division one au two. Combination Sayansi ...PCB, PCM, CBG, PGM, EGM . POST zipo 3, moja inahitaji watu 2, ya pili inataka watu 10 na ya tatu inataka watu 13 . Sifa na vigezo zote zinafanana....pia watakao penya kwenye mrija wa asali watapelekwa nje ya nchi kusoma. Kazi kwenu
Hizo nafasi zimetangazwa wapi
 
Back
Top Bottom