Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna post za TPA (Mamlaka ya bandari) wenye ndugu wenye sifa waombe. Vigezo ni form six uwe na division one au two. Combination Sayansi ...PCB, PCM, CBG, PGM, EGM . POST zipo 3, moja inahitaji watu 2, ya pili inataka watu 10 na ya tatu inataka watu 13 . Sifa na vigezo zote zinafanana....pia watakao penya kwenye mrija wa asali watapelekwa nje ya nchi kusoma. Kazi kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SEHEMU C: FASIHI
Eneo hili lina swali moja, ndugu jobless tafadhali lifanye kwa lazima sio ombi.
5. Msailiwa ni Yatima na Utumishi ni mzazi wa kambo.
Jadili kwa maneno yasiyozidi aftatu.
😂😂😂😂Kwahiyo jobless hadeki au sioNB: Yatima hadeki na wala hana haki.
Kudadeki au nikasome tena😂Kuna post za TPA (Mamlaka ya bandari) wenye ndugu wenye sifa waombe. Vigezo ni form six uwe na division one au two. Combination Sayansi ...PCB, PCM, CBG, PGM, EGM . POST zipo 3, moja inahitaji watu 2, ya pili inataka watu 10 na ya tatu inataka watu 13 . Sifa na vigezo zote zinafanana....pia watakao penya kwenye mrija wa asali watapelekwa nje ya nchi kusoma. Kazi kwenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo jobless hadeki au sio
😂😂😂😂Kwamba jobless hata akidandia mtumbwi wa vibwengo inatakiwa augulie kimya kimya hahhhHahaha! Nimeona hapo juu jobless analalamika sana. Hajui kwamba yeye ni Yatima.
Wamepost kwenye website yao mkuu?Kuna post za TPA (Mamlaka ya bandari) wenye ndugu wenye sifa waombe. Vigezo ni form six uwe na division one au two. Combination Sayansi ...PCB, PCM, CBG, PGM, EGM . POST zipo 3, moja inahitaji watu 2, ya pili inataka watu 10 na ya tatu inataka watu 13 . Sifa na vigezo zote zinafanana....pia watakao penya kwenye mrija wa asali watapelekwa nje ya nchi kusoma. Kazi kwenu
😂😂😂😂Nilipoanza kusoma maandishi ya ndugu yangu Mwifwa (JOBLESS DARAJA LA II) mapigo ya moyo yakaenda mbio nikijua anajiapiza kufanya kitu kikubwa sana, ila mwishoni nikavunjika moyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukajua ataenda kuwapiga hahhhh
😂😂😂😂Hahhhh daraja langu limepanda hahhKabisa Mkuu wizy (JOBLESS DARAJA LA IIA)
😂😂😂😂Hahaha, kumbe anaenda kuwahoji, kitu ambacho ni wazi anaweza kuzuiliwa na walinzi kabla hata ya kuingia ndani kwa maofisa.
Ahsante mkuuHongera sana na mungu atakifanikishia hii ulambe asali
Habari zenu wakuu, nlkua naomba nisikie mawazo yenu juu ya hili, japo ni nje kidogo ya mada wa uzi huu.
Nipo nafanya kazi na kampuni moja ivi, lkn bado naendelea pia kutafuta na sehem zingine ili kupata atleast sehemu nzuri zaidi.
Nikabahatika kuitwa na kampuni ingne for interview, nikaenda nikafanya, na wakanipigia tena simu kesho yake kuwa nimepata kazi na niende kwa ajili ya taratibu zingne.
Ikabidi niombe ruhusa oficin ya dharula niende, nilivyofika waliniambia vitu ambavyo itanibid nivipeleke kwa ajili ya kuopen file na moja ya ivyo vitu ni barua ya kuacha kazi sehem ambayo nipo sasa ivi. Nikaomba atleast wanionyeshe mkataba nione salary yao ikoje ila waligoma kabisa, nilijaribu kila mbinu atleast niweze kujua mshahara wao ukoje ikashindikana, na hawataki kunionyesha mkataba mpaka nipeleke ivyo vitu plus iyo barua ya kuacha kazi. Na ni kampuni kubwa tu hapa nchini.
Hii imekaaje wakuu?! Maana naogopa kurisk hapa nilipo sasa hivi, then nikafika kule nikakutana na mambo meusi.
Ntashukuru kwa mawazo yenu.
Hahahahaaa.Hahaha! Mkuu hichi kiapo bado ni chepesi sana. Hebu fikiria namna ya kuja na kitu kizito zaidi.
Uvumilivu tu hapa ndio jibu toshaSEHEMU C: FASIHI
Eneo hili lina swali moja, ndugu jobless tafadhali lifanye kwa lazima sio ombi.
5. Msailiwa ni Yatima na Utumishi ni mzazi wa kambo.
Jadili kwa maneno yasiyozidi aftatu.
NB: Yatima hadeki na wala hana haki.
Yupo ngoja ninunue gari mkuuuKiongozi mtafute sasa hv na umwambie syo jobless lazma utamkanda tu
Hizo nafasi zimetangazwa wapiKuna post za TPA (Mamlaka ya bandari) wenye ndugu wenye sifa waombe. Vigezo ni form six uwe na division one au two. Combination Sayansi ...PCB, PCM, CBG, PGM, EGM . POST zipo 3, moja inahitaji watu 2, ya pili inataka watu 10 na ya tatu inataka watu 13 . Sifa na vigezo zote zinafanana....pia watakao penya kwenye mrija wa asali watapelekwa nje ya nchi kusoma. Kazi kwenu