Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ujobless shida sana, unaamka asubuhi unakopa bando unaingia website ya ajira then unaona hakuna kitu, unasema ngoja nicheki status ajira portal nako unaona kunakuchanganya tu, unaingia kwenye app ndio unazidi kuvurugwa. Then unakuja jf kupanda miongozo. Dah!!! tabu sana😆😆
 
😂😂😂😂😂Hahhhh ishu inakuaga umekopa bando afu kuingia kwenye app unakuta ile not selected na rangi nyekundu aseeh utajilaumu kwanini umekopa bando
 
Unadhani kwenye oral mdada akimlegezea panelist jicho wakati anang'ang'ana kujibu, huoni panelist atakuwa kashatekwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nawaza tu kwa herufi kubwa
Kila pamelist anatoa marks kwa kilaswali lililoulizwa, kumbuka majibu wanakua nayo na ikitokea marks zimediverge sana lazima uhojiwe kama huna conflict of interest
 
Hawana shida ya mfanyakazi na wangehitaji. Kwel lazma wangekupa hamasa kwa kukuonesha mkataba na mshahara
 
Kiongozi unafaa kabsa kuwa PSRS ili mtukande na mkimaliza kutukanda unatupa kabsa haya madaraja ya ujobless
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Interesting.....

Iwepo category ya Jobless aliyeingia oral zaidi ya mara moja na anaendelea kusubiri Placements(Prok ), Jobless ambaye yupo kanzidata ingawa kujua kama yupo ni vigumu, Jobless ambaye anareceived kwa mara ya kwanza na akiwa bado haijaitwa written
 
Hahahahaa, unawekuta huyo mmoja kashaitwa kwa simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…