Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinacho endeleea?
kuwa mpole dogo, huwa wanakuwa wanaandaa masurufu yenu, si unajua mtaanza kulipwa hela ya safari na ya kuanzia kule mnakopelekwa, kuna hela ya mshahara wenu etc wanatakiwa kuweka mambo sawa. kuwa mvumilivu.
 
Nafasi gani brother? Mimi Naamini mmepita wote watano halafu Kuna nafasi moja imeongezeka wanajitaj mtu wa sita. Psrs hii ipo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…