๐๐๐๐๐Sasa wewe unavyoona nitakuwa kwenye public service gani mzee hahhhhWamesema endapo uko kwenye public service, age haina shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Sasa wewe unavyoona nitakuwa kwenye public service gani mzee hahhhhWamesema endapo uko kwenye public service, age haina shida
๐๐๐๐Unajua developer anaweza kuset code muda Fulani ikizingua mpaka umtafute yeye na pale Cive wale wanafunzi wanakuwaga nondo sana paleChuo walikwama sana, walishindwa kuweka ulinzi ili hao developer wasiweze kuingia tena kwenye mfumo.
sawa mkuu nimekuelewa vzr ,Watu wazushi snHapana hawajapostpon mzee hakunaga huo muda kutosha au kutokutosha hii process ni continues
yani mchakato wa kuita usaili TRA ni JanuaryElezea vizuri tukuelewe
Kwenye app Selected for null Kwenye browser SHORTLISTEDKwenye app ipoje?
Kwenye app Selected for null Kwenye browser SHORTLISTED
Okay hiyo kutokuita watu labda kuna circumstances zingine lakini sio ishu ya muda kwasababu hizi ishu ni endelevusawa mkuu nimekuelewa vzr ,Watu wazushi sn
Oral = 4, post = 1Mlifanya oral wangapi na post zipo ngapi mzee?
Wenzio status zao zipoje?Oral = 4, post = 1
Unaamini kwamba wewe ndo umepita???au Hutaki kuamini๐Oral = 4, post = 1
Tunasubiri pdf ya placementUnaamini kwamba wewe ndo umepita???au Hutaki kuamini๐
Haya kama huamini kuwa umepita sawa๐๐๐๐kwani wenzio status zipojeTunasubiri pdf ya placement
kuwa mpole dogo, huwa wanakuwa wanaandaa masurufu yenu, si unajua mtaanza kulipwa hela ya safari na ya kuanzia kule mnakopelekwa, kuna hela ya mshahara wenu etc wanatakiwa kuweka mambo sawa. kuwa mvumilivu.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinacho endeleea?
Kwani hizo pesa unalipwa immediately baada yakureport au baada ya muda kidogo kupita?kuwa mpole dogo, huwa wanakuwa wanaandaa masurufu yenu, si unajua mtaanza kulipwa hela ya safari na ya kuanzia kule mnakopelekwa, kuna hela ya mshahara wenu etc wanatakiwa kuweka mambo sawa. kuwa mvumilivu.
Mzee wa status๐คฃWenzio status zao zipoje?
๐๐๐๐Ngoja nimchanganye jobless hapa au nikuvuruge nawewe kijana wangu wa not selected hahhhMzee wa status๐คฃ
Nafasi gani brother? Mimi Naamini mmepita wote watano halafu Kuna nafasi moja imeongezeka wanajitaj mtu wa sita. Psrs hii ipo sana[emoji3516]
Imajini Lejendari wa UMAJOTA (UMOJA WA MAJOBLESS TANZANIA) umeitwa zako Interview,
Mmepiga "Oro" mtu 5, nafasi 2.
Umerudi zako kitaa kusikilizia placement,
Miezi miwili imekata hakuna placement,
Ghafla tu unakuja kuona ile post mnayoisubiria wamei_readvertise nafasi 1.
Ina maana hapo kuna mmoja amepatikana, ila placement haijatoka!!!
Ni mwendo wa kudufuliwa Ndoige za mbavu tu aisee!!!
๐๐๐๐Sasa isingekuwa imeandikwa re-advertisedNafasi gani brother? Mimi Naamini mmepita wote watano halafu Kuna nafasi moja imeongezeka wanajitaj mtu wa sita. Psrs hii ipo sana
Mimi nilidhani 'shortlisted' unasubiri mrija wa asal!!๐๐๐๐Sasa isingekuwa imeandikwa re-advertised
๐๐๐๐๐Hahhhh kuna kupata au kukosa kutokana na marks zako mkuuMimi nilidhani 'shortlisted' unasubiri mrija wa asal!!