Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinacho endeleea?
kuwa mpole dogo, huwa wanakuwa wanaandaa masurufu yenu, si unajua mtaanza kulipwa hela ya safari na ya kuanzia kule mnakopelekwa, kuna hela ya mshahara wenu etc wanatakiwa kuweka mambo sawa. kuwa mvumilivu.
 
[emoji3516]
Imajini Lejendari wa UMAJOTA (UMOJA WA MAJOBLESS TANZANIA) umeitwa zako Interview,
Mmepiga "Oro" mtu 5, nafasi 2.

Umerudi zako kitaa kusikilizia placement,
Miezi miwili imekata hakuna placement,
Ghafla tu unakuja kuona ile post mnayoisubiria wamei_readvertise nafasi 1.
Ina maana hapo kuna mmoja amepatikana, ila placement haijatoka!!!

Ni mwendo wa kudufuliwa Ndoige za mbavu tu aisee!!!
Nafasi gani brother? Mimi Naamini mmepita wote watano halafu Kuna nafasi moja imeongezeka wanajitaj mtu wa sita. Psrs hii ipo sana
 
Back
Top Bottom