Shortlisted maana yake nini sasa kwenye status?πππππHahhhh kuna kupata au kukosa kutokana na marks zako mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba samaki wamekula tope wakafa
ππππHata namimi naelewa basi??maana kuna shortlisted ,Kuna selected for oral kule kwenye app Kuna selected for na not selected for kwahiyo Vurugu tu Yani duniani nikuteseka tutapumzika mbinguni mzeeShortlisted maana yake nini sasa kwenye status?
Maana yake umefanya Oral so kuna kukandwa na kuwakandaShortlisted maana yake nini sasa kwenye status?
Mi sivurugiki Tena bro nikikanda kama nimekanda nikikandwa kama nimekandaπ€£π€£ππππNgoja nimchanganye jobless hapa au nikuvuruge nawewe kijana wangu wa not selected hahhh
ππππWe subiri ile shortlisted iende shortlisted for interview mbona utavurugika tu hahhhMi sivurugiki Tena bro nikikanda kama nimekanda nikikandwa kama nimekandaπ€£π€£
Mbinu ya kukutosa bila kuumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wewe unavyoona nitakuwa kwenye public service gani mzee hahhhh
Mbinu ya kukutosa bila kuumia
dogo, nikikwambia usije kuanza kupangia mipango, subiri uitwe. usije kuumia moyo. vumilia. kwahiyo wewe uajiriwe DODOMA, upangiwe kituo kigoma, afu uende kwa nauli yako? na mwezi mzima mfano kabla hujapata mshahara utakula nini na utafanyaje kazi?Kwani hizo pesa unalipwa immediately baada yakureport au baada ya muda kidogo kupita?
Kumbe kuna pesa hvyo kabla ya mshahara bt wadau wa humu wala kututonya kuwa unapata mkwanja mapema kabisa yan wanasepa kimyakimyadogo, nikikwambia usije kuanza kupangia mipango, subiri uitwe. usije kuumia moyo. vumilia. kwahiyo wewe uajiriwe DODOMA, upangiwe kituo kigoma, afu uende kwa nauli yako? na mwezi mzima mfano kabla hujapata mshahara utakula nini na utafanyaje kazi?
ππππKaka siwezi kupanga mipango maana hata status tu zile za portal zinanichanganya sizielewi elewi sijui shortlisted mara selected for yani Vurugu tudogo, nikikwambia usije kuanza kupangia mipango, subiri uitwe. usije kuumia moyo. vumilia. kwahiyo wewe uajiriwe DODOMA, upangiwe kituo kigoma, afu uende kwa nauli yako? na mwezi mzima mfano kabla hujapata mshahara utakula nini na utafanyaje kazi?
ππππUmeona Kumbe kuna hela na hawasemi aloooh dunia ina Siri sana hii mpaka wale tuliokuwa nao juzi tu hawajasema daaah kweli dunia ni mwendo wa ngiriπKumbe kuna pesa hvyo kabla ya mshahara bt wadau wa humu wala kututonya kuwa unapata mkwanja mapema kabisa yan wanasepa kimyakimya
ππππKaka kaombe kazi huko portal wameweka zingine hahhhHata kaplacement Moja chakulala nacho hamna!!! Mhhhh!!
Kiukweli sivurugiki unajua nilistop kufanya maamuzi flani nikiwa nasubiri placement nilivyoona vile japo sio confirmed lkn nikapata courage ya kuresume mchakato wangu so yakija vizuri ntashkuru ila kama bahati hauko upande wangu pia tapokea bila msongo wa mawazoππππWe subiri ile shortlisted iende shortlisted for interview mbona utavurugika tu hahhh
Lala bro π€£Hata kaplacement Moja chakulala nacho hamna!!! Mhhhh!!
ππππHapo sasa umekuwa jobless pro maxKiukweli sivurugiki unajua nilistop kufanya maamuzi flani nikiwa nasubiri placement nilivyoona vile japo sio confirmed lkn nikapata courage ya kuresume mchakato wangu so yakija vizuri ntashkuru ila kama bahati hauko upande wangu pia tapokea bila msongo wa mawazo
πππππatalalaje wakati muce walishapiga simu?na yeye hakupigiwaLala bro π€£
πππππNishakumbuka kaka hivi sindo ulitaka kuhamia kigoma au?we hama tu ukifika kigoma pdf inatoka inatakiwa kazini mtwara mikindani hukoKiukweli sivurugiki unajua nilistop kufanya maamuzi flani nikiwa nasubiri placement nilivyoona vile japo sio confirmed lkn nikapata courage ya kuresume mchakato wangu so yakija vizuri ntashkuru ila kama bahati hauko upande wangu pia tapokea bila msongo wa mawazo
Nimepanda cheoππππHapo sasa umekuwa jobless pro max