Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwani hizo pesa unalipwa immediately baada yakureport au baada ya muda kidogo kupita?
dogo, nikikwambia usije kuanza kupangia mipango, subiri uitwe. usije kuumia moyo. vumilia. kwahiyo wewe uajiriwe DODOMA, upangiwe kituo kigoma, afu uende kwa nauli yako? na mwezi mzima mfano kabla hujapata mshahara utakula nini na utafanyaje kazi?
 
Kumbe kuna pesa hvyo kabla ya mshahara bt wadau wa humu wala kututonya kuwa unapata mkwanja mapema kabisa yan wanasepa kimyakimya
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kaka siwezi kupanga mipango maana hata status tu zile za portal zinanichanganya sizielewi elewi sijui shortlisted mara selected for yani Vurugu tu
 
Kumbe kuna pesa hvyo kabla ya mshahara bt wadau wa humu wala kututonya kuwa unapata mkwanja mapema kabisa yan wanasepa kimyakimya
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Umeona Kumbe kuna hela na hawasemi aloooh dunia ina Siri sana hii mpaka wale tuliokuwa nao juzi tu hawajasema daaah kweli dunia ni mwendo wa ngiri๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚We subiri ile shortlisted iende shortlisted for interview mbona utavurugika tu hahhh
Kiukweli sivurugiki unajua nilistop kufanya maamuzi flani nikiwa nasubiri placement nilivyoona vile japo sio confirmed lkn nikapata courage ya kuresume mchakato wangu so yakija vizuri ntashkuru ila kama bahati hauko upande wangu pia tapokea bila msongo wa mawazo
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hapo sasa umekuwa jobless pro max
 
Kiukweli sivurugiki unajua nilistop kufanya maamuzi flani nikiwa nasubiri placement nilivyoona vile japo sio confirmed lkn nikapata courage ya kuresume mchakato wangu so yakija vizuri ntashkuru ila kama bahati hauko upande wangu pia tapokea bila msongo wa mawazo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nishakumbuka kaka hivi sindo ulitaka kuhamia kigoma au?we hama tu ukifika kigoma pdf inatoka inatakiwa kazini mtwara mikindani huko
 
Back
Top Bottom