ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hahahaha vijana wanajadili status.Huu Uzi Sasa umekuwa ni ushuzi tu,, unatembea quotes kibao kumbe kinachojadiliwa ni pumba tu.
Alifanikiwa kuingia oral bado placementHuu uzi kila nikiuona namkumbuka rafiki yangu mwifa vp mambo bado huko?
😂😂😂😂Sasa status sizinahusiana na hizo ajira au nyie mlienda kufanya interview bila status kubadilika?Hahahaha vijana wanajadili status.
😂😂😂😂Tusubiri mwezi ujao mzeeKumekucha wadauuuuu I hope mko poa
Kesho ndo jumanne ya pdf wenye suti na moka endeleen kunyoosha na kung'arisha....
Hakuna aliyepata kazi kwa Status issue ni PDF au wakuvutie waya.😂😂😂😂Sasa status sizinahusiana na hizo ajira au nyie mlienda kufanya interview bila status kubadilika?
Watoe pdf tu hizo kupigiwa simu yatakuwa mambo mengineHakuna aliyepata kazi kwa Status issue ni PDF au wakuvutie waya.
Kuvutiwa waya ndio ubunifu wao mpyaWatoe pdf tu hizo kupigiwa simu yatakuwa mambo mengine
Huo ubunifu wamekwama sasaKuvutiwa waya ndio ubunifu wao mpya
Mbaya sana huu utaratibu sio mzuriKuvutiwa waya ndio ubunifu wao mpya
Hahahahaa.Huu uzi kila nikiuona namkumbuka rafiki yangu mwifa vp mambo bado huko?
Naam Jumanne ndio kesho tunasubiri agenda mpya ya kuishi nayoKumekucha wadauuuuu I hope mko poa
Kesho ndo jumanne ya pdf wenye suti na moka endeleen kunyoosha na kung'arisha....
Kitaa joto kali mkuu, hata humu tushindwe kusemezana!!Huu Uzi Sasa umekuwa ni ushuzi tu,, unatembea quotes kibao kumbe kinachojadiliwa ni pumba tu.
Inaonekana majukumu yanawabana na wananogewa na Asali hadi wanasahau walipotokaIna maana huu uzi ni wamajobless tu inamaana hata waliotoboa huwa hawarudi tena
Unaweza kuwa unasema mwezi ujao, lakini kumbe mawazo ya sekretarieti yako hivi....😂😂😂😂Tusubiri mwezi ujao mzee
Mbona unatukatisha tamaaa wengine tumeshaandaa suti na moka kwa ajili ya kuchukua barua pale kwa MigiroUnaweza kuwa unasema mwezi ujao, lakini kumbe mawazo ya sekretarieti yako hivi....
"Sasa tupate mapumziko ya kombe la dunia"..... (Nov 20 - Dec 18).
"Tukimalizana na WC, sasa tupate mapumziko ya Krismass na mwaka mpya" (Dec 20 - Jan 5).
"Baada ya hapo tunaweza kuzungumzia advertisements, calls for interview na placements"
Justification: Kwani ajira ni tenga la nyanya kwamba zitaoza, acha wasubiri bana.
Sisi jobless sasa....
Ni milio na kusaga meno tu.