Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂😂😂Tusubiri mwezi ujao mzee
Unaweza kuwa unasema mwezi ujao, lakini kumbe mawazo ya sekretarieti yako hivi....

"Sasa tupate mapumziko ya kombe la dunia"..... (Nov 20 - Dec 18).

"Tukimalizana na WC, sasa tupate mapumziko ya Krismass na mwaka mpya" (Dec 20 - Jan 5).

"Baada ya hapo tunaweza kuzungumzia advertisements, calls for interview na placements"

Justification: Kwani ajira ni tenga la nyanya kwamba zitaoza, acha wasubiri bana.

Sisi jobless sasa....
Ni milio na kusaga meno tu.
 
Mbona unatukatisha tamaaa wengine tumeshaandaa suti na moka kwa ajili ya kuchukua barua pale kwa Migiro
 
Back
Top Bottom