Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hamna hawawezi kufanya hivyo
 
Nafupisha hii komenti yako.

"Aliyeshiba hamjui mwenye njaa"
 
Ndio ajira ni kama nyanya, kibali kikitolewa kwen mwaka husika wa ajia si garantee kwamba mwaka mpya wa fedha bali kitapatikana tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…