😂😂😂andaa suti mzee mwezi ujao uhakikaMbona unatukatisha tamaaa wengine tumeshaandaa suti na moka kwa ajili ya kuchukua barua pale kwa Migiro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂andaa suti mzee mwezi ujao uhakikaMbona unatukatisha tamaaa wengine tumeshaandaa suti na moka kwa ajili ya kuchukua barua pale kwa Migiro
Wiki ijayo kiongozi kama kweny msiba wa mkandaji si wamesharudi[emoji23][emoji23][emoji23]andaa suti mzee mwezi ujao uhakika
Wazeee wa kibiti waleeeeeeIn the meantime, utumishi wanaendelea kutembeza mikeka ya kiserikali za mitaa.
Nyie!
View attachment 2416152
😂😂😂😂Bado wanaomboleza mzeeWiki ijayo kiongozi kama kweny msiba wa mkandaji si wamesharudi
Mikeka kama yote aseehIn the meantime, utumishi wanaendelea kutembeza mikeka ya kiserikali za mitaa.
Nyie!
View attachment 2416152
😂😂😂😂Hamna hawawezi kufanya hivyoUnaweza kuwa unasema mwezi ujao, lakini kumbe mawazo ya sekretarieti yako hivi....
"Sasa tupate mapumziko ya kombe la dunia"..... (Nov 20 - Dec 18).
"Tukimalizana na WC, sasa tupate mapumziko ya Krismass na mwaka mpya" (Dec 20 - Jan 5).
"Baada ya hapo tunaweza kuzungumzia advertisements, calls for interview na placements"
Justification: Kwani ajira ni tenga la nyanya kwamba zitaoza, acha wasubiri bana.
Sisi jobless sasa....
Ni milio na kusaga meno tu.
Mzee kila muda tutajadili placement tu kwanini hazitoki??ndo maana hata humu humu utakuta kuna miongozo jinsi yakujibu zile interview ambayo hiyo haikuwa lengo la uzi ,lakini imewasaidia watuHuu Uzi Sasa umekuwa ni ushuzi tu,, unatembea quotes kibao kumbe kinachojadiliwa ni pumba tu.
Nafupisha hii komenti yako.Unaweza kuwa unasema mwezi ujao, lakini kumbe mawazo ya sekretarieti yako hivi....
"Sasa tupate mapumziko ya kombe la dunia"..... (Nov 20 - Dec 18).
"Tukimalizana na WC, sasa tupate mapumziko ya Krismass na mwaka mpya" (Dec 20 - Jan 5).
"Baada ya hapo tunaweza kuzungumzia advertisements, calls for interview na placements"
Justification: Kwani ajira ni tenga la nyanya kwamba zitaoza, acha wasubiri bana.
Sisi jobless sasa....
Ni milio na kusaga meno tu.
😂😂😂😂 Jobless umejibu kwa masikitiko sana aseeh hahhhNafupisha hii komenti yako.
"Aliyeshiba hamjui mwenye njaa"
Mikeka inayotokaga haraka ni Advertisement halafu inafuatia Call(kwa mbaali).In the meantime, utumishi wanaendelea kutembeza mikeka ya kiserikali za mitaa.
Nyie!
View attachment 2416152
Hadi arobaini ipite[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado wanaomboleza mzee
Nimefundishwa kujibu short and clear na wakandaji[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jobless umejibu kwa masikitiko sana aseeh hahhh
😂😂😂😂😂Hahhhhh ukishusha essay wanakukanda kama hawaoniNimefundishwa kujibu short and clear na wakandaji[emoji3][emoji3]
😂😂😂😂😂Nasikia yule ndo alikuwa ana upload mikeka ya placement sasa tusubiri afufuke hahhhHadi arobaini ipite[emoji3][emoji3][emoji3]
Hv muongozo wao unasemaje kuhusu duration inayotakiwa since adverisment up to placementMikeka inayotokaga haraka ni Advertisement halafu inafuatia Call(kwa mbaali).
Placements sasa....., utadhani mafao ya Wastaafu
Pesa ya kujikimu kwa hali ya sasa ya serikali inaweza kuchukua hata miaka kadhaa kulipwa! usijazwe upepo, ni haki yako lakini itahitaji subirakuipataKumbe kuna pesa hvyo kabla ya mshahara bt wadau wa humu wala kututonya kuwa unapata mkwanja mapema kabisa yan wanasepa kimyakimya
Maana walianzisha mfumo wa tehama ili kupunguza muda wa kupata waajiri ss inakuaje au ndo pilitics as usualHv muongozo wao unasemaje kuhusu duration inayotakiwa since adverisment up to placement
Ndio ajira ni kama nyanya, kibali kikitolewa kwen mwaka husika wa ajia si garantee kwamba mwaka mpya wa fedha bali kitapatikana tena.Unaweza kuwa unasema mwezi ujao, lakini kumbe mawazo ya sekretarieti yako hivi....
"Sasa tupate mapumziko ya kombe la dunia"..... (Nov 20 - Dec 18).
"Tukimalizana na WC, sasa tupate mapumziko ya Krismass na mwaka mpya" (Dec 20 - Jan 5).
"Baada ya hapo tunaweza kuzungumzia advertisements, calls for interview na placements"
Justification: Kwani ajira ni tenga la nyanya kwamba zitaoza, acha wasubiri bana.
Sisi jobless sasa....
Ni milio na kusaga meno tu.
Miezi miwili na wiki moja haitakiwi kuzidi hapoHv muongozo wao unasemaje kuhusu duration inayotakiwa since adverisment up to placement