politics as usualMaana walianzisha mfumo wa tehama ili kupunguza muda wa kupata waajiri ss inakuaje au ndo pilitics as usual
Unakuwa unawachelewesha mambo ya kikandaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh ukishusha essay wanakukanda kama hawaoni
Daaahh[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia yule ndo alikuwa ana upload mikeka ya placement sasa tusubiri afufuke hahhh
Ipo ila nimesahau mkuuHv muongozo wao unasemaje kuhusu duration inayotakiwa since adverisment up to placement
duuuh kwahiyo kumbe hawakujipanga aseehIshu Ni Swala La Mishahara Na Pesa Za Kujikimu Ndo Zinachelewesha Placement Kwa wale ambao wamefanya Usaili.
Kumbuka kuna watu wanabarua za kuitwa kazini toka mwez wa 9 Wamepeleka kwa Wajiriwa ila bado Hawajanzaa kazi Mpaka Leo.
Au hela za kuwalipa ndio wanamsomeshea shujaa Majaliwa ?duuuh kwahiyo kumbe hawakujipanga aseeh
😂😂😂😂Hahhhh au ile milion ndo ulikuwa mshahara wangu ule mamaeeeAu hela za kuwalipa ndio wanamsomeshea shujaa Majaliwa ?
duuuh kweli ni shida aseehNadhan Kuna mistake zilikuwa zinafanyika yan ww unaomba kibali cha kuajiri. Utumishi Then Swala la Mishahara na Mengine khs watumishi wapya Unawachia Hazina.
Ukitegemea kwamba ukipewa watumishi wapya Hazina Watamaliza Changamoto ya Kifedha kuhusu watumish.
Mwisho Hazina Wanajikuta Wana maombi mengi ya pesa Nje Ya Bajeti Husika Ya mishahara. Kwahy Inaslow Down the whole process. Kuanzia utoaji Wa Placement Mpk Kupewa cheque No Na kupata Mshahara.
Maan Hazina Inabidi ihakiki Bajeti Ya Mishahara Haizidi kiasi kilichopangwa kwny Bajeti Ya Serikali kwa mwaka husika.
Kuanzia Mwaka Ujao wa Fedha Watakuja na Utaratibu Mpya Mfano TRAA wakitaka kuajiri Wapeleke maombi Utumishi lakini Bajeti ya Mishahara na Ongezeko la Mshahara wa mwaka Iwe Sehemu Ya Maombi Ya Fedha Zao Za Bajeti Kwa Mwaka Husika. Kabla Utumishi Hawatoa kibali cha Ajira.
Huenda huo utartbu mpya ukasaidia kupunguza waiting time for joblessNadhan Kuna mistake zilikuwa zinafanyika yan ww unaomba kibali cha kuajiri. Utumishi Then Swala la Mishahara na Mengine khs watumishi wapya Unawachia Hazina.
Ukitegemea kwamba ukipewa watumishi wapya Hazina Watamaliza Changamoto ya Kifedha kuhusu watumish.
Mwisho Hazina Wanajikuta Wana maombi mengi ya pesa Nje Ya Bajeti Husika Ya mishahara. Kwahy Inaslow Down the whole process. Kuanzia utoaji Wa Placement Mpk Kupewa cheque No Na kupata Mshahara.
Maan Hazina Inabidi ihakiki Bajeti Ya Mishahara Haizidi kiasi kilichopangwa kwny Bajeti Ya Serikali kwa mwaka husika.
Kuanzia Mwaka Ujao wa Fedha Watakuja na Utaratibu Mpya Mfano TRAA wakitaka kuajiri Wapeleke maombi Utumishi lakini Bajeti ya Mishahara na Ongezeko la Mshahara wa mwaka Iwe Sehemu Ya Maombi Ya Fedha Zao Za Bajeti Kwa Mwaka Husika. Kabla Utumishi Hawatoa kibali cha Ajira.
Kwa mujibu wa "Mkataba wa huduma kwa mteja" wa sekretarieti ya ajira, muongozo wao ni huu hapa....Hv muongozo wao unasemaje kuhusu duration inayotakiwa since adverisment up to placement
aseeehKwa mujibu wa "Mkataba wa huduma kwa mteja" wa sekretarieti ya ajira, muongozo wao ni huu hapa....
View attachment 2416232
Wizy kwenye ubora wake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia yule ndo alikuwa ana upload mikeka ya placement sasa tusubiri afufuke hahhh
😂😂😂😂Kweli mzee huoni kuanzia alivyoanza kuumwa akashindwa kuweka mikeka mpaka leoWizy kwenye ubora wake [emoji16][emoji16][emoji16]
Sijakuelewa mku.Ndio ajira ni kama nyanya, kibali kikitolewa kwen mwaka husika wa ajia si garantee kwamba mwaka mpya wa fedha bali kitapatikana tena.
Haya matangazo ya kazi mengi yalianza kutoka May mwishoni na June mwanzoni, July, August.Nadhan Kuna mistake zilikuwa zinafanyika yan ww unaomba kibali cha kuajiri. Utumishi Then Swala la Mishahara na Mengine khs watumishi wapya Unawachia Hazina.
Ukitegemea kwamba ukipewa watumishi wapya Hazina Watamaliza Changamoto ya Kifedha kuhusu watumish.
Mwisho Hazina Wanajikuta Wana maombi mengi ya pesa Nje Ya Bajeti Husika Ya mishahara. Kwahy Inaslow Down the whole process. Kuanzia utoaji Wa Placement Mpk Kupewa cheque No Na kupata Mshahara.
Maan Hazina Inabidi ihakiki Bajeti Ya Mishahara Haizidi kiasi kilichopangwa kwny Bajeti Ya Serikali kwa mwaka husika.
Kuanzia Mwaka Ujao wa Fedha Watakuja na Utaratibu Mpya Mfano TRAA wakitaka kuajiri Wapeleke maombi Utumishi lakini Bajeti ya Mishahara na Ongezeko la Mshahara wa mwaka Iwe Sehemu Ya Maombi Ya Fedha Zao Za Bajeti Kwa Mwaka Husika. Kabla Utumishi Hawatoa kibali cha Ajira.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Au hela za kuwalipa ndio wanamsomeshea shujaa Majaliwa ?
Hv hiz.pesa kama hazijatumika mwaka husika wanazpeleka wapi au ndo pasu kwa pasu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo fungu nazani linatoka kwenye account ya emergency/miscelleneous
Hela zakutulipa wamepeleka kwenye uokozi mzeeHv hiz.pesa kama hazijatumika mwaka husika wanazpeleka wapi au ndo pasu kwa pasu