Hapa naona kikao cho ndio kinakwamisha, kwa jinsi sahili zilivyofanyika kuanzia septemba 6 na kupata mapumziko ya wiki 1 then zikaendelea Octoba, baada ya hapo mapumziko kidogo zikaendelea Novemba, hiyo kamati isingeweza kukaa mara 3 kwa muda mfupi huo.Kwa mujibu wa "Mkataba wa huduma kwa mteja" wa sekretarieti ya ajira, muongozo wao ni huu hapa....
View attachment 2416232
Haziwezi kukosa matumizi, wenye access nazo wanapumua kama mimi na wewe[emoji3][emoji3][emoji3]Hv hiz.pesa kama hazijatumika mwaka husika wanazpeleka wapi au ndo pasu kwa pasu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi Fulani pale Udom ule mfumo wa matokeo ulitengenezwaga na wanafunzi wa Cive sasa wakawa wanajua kuuaccess kwahiyo walikuwa wanajiwekea A enzi hizo hata kama ana sup
Shukrani sana kwa ushauri mkuu
Hoja yangu, kibali kikitoka means bajeti ya ajira mpya ipo, ukichelewa kuajiri mpaka mwaka mwingine wa fedha hakuna uhakika kwamba ajira hizo zitaendelea kuwepo, kuna mifano mingi way back 2016. Na kumbukeni wage bill now ni bilioni 600+ kwa mwezi, sioni serikali ikiendelea kuajiri kwa wingi kama mwaka huu (bitter truth).Sijakuelewa mku.
Ninavyojua ni kwamba vibali vinatolewa kulingana na:-
1. Uhitaji wa taasisi kutaka mtumishi.
2. Uwezo wa serikali (kifedha) kuajiri.
Sijaelewa hoja yako with respect to kibali kikitoka mwaka huu hakuna guarantee kitatoka tena mwakani.
Niliposema ajira sio tenga la nyanya (kwamba usipoziuza leo basi zikikaa sana zinaoza) nilimaanisha utumishi wanachelewesha michakato (for whatever the reasons) with no worries.
Ajira za TRA walitangaza Aprili, hadi leo hawajaita interview.
Ajira za MDA & LGA walitangaza mwezi Juni, hadi leo hawajaita interview.
Kwa muktadha huo wanaweza kusema tutafanyisha interview mwakani baada ya Valentines (for whatever the reasons) na sisi jobless tukasubiri maana hatuna chaguo, hatuna cha kufanya wala cha kuwafanya.
Hii ndio ilikua hoja yangu.
"Kwa muktadha wa namna hii ya ucheleweshaji wa michakato, ajira sio tenga la nyanya kwamba litaoza"
No hurry, no hurry at all.
Hizi tume ambazo zinakuja na majibu ya mchongo, unakumbuka Tume ya Mto Mara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Isije ikafuata nyayo hizo..
aseeeh tutafika tumechoka sanaMwaka Mpya wa Fedha 22/23 Ajira zake Zimeanza kutoka 20 October Mwaka Huu.
Ondoa Hizo Re-Advertising. Na Zile Za Ikama Ya Bajeti Ya Mwaka 21/22.
Hizo Zote zilizotoka Kabla ni Za mwaka Wa Fedha 21/22.
Na Marekebisho Ya Mchakato Yatanza Mwaka 23/24. Juzi Bungeni Waziri wa Fedha Ndo Alikuwa Anatoa Hayo Maelekez Kwa Maafisa Maasuli Wa Taasisi Mbalimbali.
Nadhan Kuna mistake zilikuwa zinafanyika yan ww unaomba kibali cha kuajiri. Utumishi Then Swala la Mishahara na Mengine khs watumishi wapya Unawachia Hazina.
Ukitegemea kwamba ukipewa watumishi wapya Hazina Watamaliza Changamoto ya Kifedha kuhusu watumish.
Mwisho Hazina Wanajikuta Wana maombi mengi ya pesa Nje Ya Bajeti Husika Ya mishahara. Kwahy Inaslow Down the whole process. Kuanzia utoaji Wa Placement Mpk Kupewa cheque No Na kupata Mshahara.
Maan Hazina Inabidi ihakiki Bajeti Ya Mishahara Haizidi kiasi kilichopangwa kwny Bajeti Ya Serikali kwa mwaka husika.
Kuanzia Mwaka Ujao wa Fedha Watakuja na Utaratibu Mpya Mfano TRAA wakitaka kuajiri Wapeleke maombi Utumishi lakini Bajeti ya Mishahara na Ongezeko la Mshahara wa mwaka Iwe Sehemu Ya Maombi Ya Fedha Zao Za Bajeti Kwa Mwaka Husika. Kabla Utumishi Hawatoa kibali cha Ajira.
Unaweza kuwa unasema mwezi ujao, lakini kumbe mawazo ya sekretarieti yako hivi....
"Sasa tupate mapumziko ya kombe la dunia"..... (Nov 20 - Dec 18).
"Tukimalizana na WC, sasa tupate mapumziko ya Krismass na mwaka mpya" (Dec 20 - Jan 5).
"Baada ya hapo tunaweza kuzungumzia advertisements, calls for interview na placements"
Justification: Kwani ajira ni tenga la nyanya kwamba zitaoza, acha wasubiri bana.
Sisi jobless sasa....
Ni milio na kusaga meno tu.
Huu ndo ukweli mwaka huu wamejitahidi kidogo kutoa nafasiHoja yangu, kibali kikitoka means bajeti ya ajira mpya ipo, ukichelewa kuajiri mpaka mwaka mwingine wa fedha hakuna uhakika kwamba ajira hizo zitaendelea kuwepo, kuna mifano mingi way back 2016. Na kumbukeni wage bill now ni bilioni 600+ kwa mwezi, sioni serikali ikiendelea kuajiri kwa wingi kama mwaka huu (bitter truth).
Kwahiyo kumbe vibali vinaweza kusitishwa?Sidhani pia kama itamaliza kabisa tatizo, mfumo wa bajeti yetu ni kwamba unapanga matumizi ya fedha ambayo hujakusanya. Ukikusanya pungufu inabidi upige panga matumizi mengine uliyokuwa umepanga. Ndo maana nikamwambia yule bwana vibali vya ajira ni kama nyanya tu.
Ni Kweli Vibali Vinatoka kabla ya mwaka mpya wa Fedha tena wakati wa usomaji wa Bajeti ya Serikali .Hoja yangu, kibali kikitoka means bajeti ya ajira mpya ipo, ukichelewa kuajiri mpaka mwaka mwingine wa fedha hakuna uhakika kwamba ajira hizo zitaendelea kuwepo, kuna mifano mingi way back 2016. Na kumbukeni wage bill now ni bilioni 600+ kwa mwezi, sioni serikali ikiendelea kuajiri kwa wingi kama mwaka huu (bitter truth).
Wasitani wa makusanyo kwa mwezi ni trilioni 1.3 (Approximated), wage bill ni bilioni 600 kwa mwezi, kuhudumia deni la taifa ni bilioni 700 (nilimsikia JPM siku anamwapisha Mwigulu Chato). Now serikali inabana matumizi plus hali ya uchumi tete, makusanyanyo yanaweza kutokuwa yale yaliyokuwa projected.Kwahiyo kumbe vibali vinaweza kusitishwa?
Yeap Ukimbiwa Tutakupa Mwaka Ujao wa Fedhaa.Kwahiyo kumbe vibali vinaweza kusitishwa?
Wasitani wa makusanyo kwa mwezi ni trilioni 1.3 (Approximated), wage bill ni bilioni 600 kwa mwezi, kuhudumia deni la taifa ni bilioni 700 (nilimsikia JPM siku anamwapisha Mwigulu Chato). Now serikali inabana matumizi plus hali ya uchumi tete, makusanyanyo yanaweza kutokuwa yale yaliyokuwa projected.
Mpaka umepewa check namba na mshara wa kwanza umeanza kuingia hapo ndo uhakika, otherwise endelea kupiga saili nyingi + kusali sana
Yeap Ukimbiwa Tutakupa Mwaka Ujao wa Fedhaa.
sawa sawaUmeiweka vyema sana, watu huwa hawajiulizi why JPM alisitisha ajira mpya & promotion mwaka 2016