Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Za Tamisemi (Ualimu na afya)huwa zinatoka kwa Mkupuo haijalishi n nying au chache
Ila Hawana mchakato mrefu kama Hapo utumishi.
Tamisemi Hawafany Usaili.
Ku attach vyeti then mkeka unatoka,Unaend kazini.
Huku Utume,Uwe shortlisted,Ukafany Usaili, Wapitie matokeo na Sifa Zingine, Then Placement, Uchukue Barua N kPeleka Kwa Mwajiri. Kuna wengine Wanaend Tena kwny Mafunzo, Usubiri cheque No kutoka Hazina.Mwajiri Akujulishe Lin Unanzaa kazi,
Hapo Bado Ajira Yako Ipo Kwny Mzani Haijakamilika N Mpka uanzee kazi Na Upoke Barua ya Kudhibitishwa Kazini au Ufanye Zaidi ya miez 6.Baada ya kuonekan Unafany kazi kwa ufanisi Na kutimiza majukumu yako ukizingua Unamwaga Anaitwa wa Database.
Ndo Maan LifeSpan Ya Data Base Ni 6 Months.Hiyo sababu moja wapo.
Sawa mkuu
Naomba utusaidie kuelewa maana ya zile status za kwenye app na website
 
Magu hakua na time na jobless lkn kama angekua na mahaba na jobless angeajiri lundo la vijana maana alifnikiwa kukusnya pesa nying lkn ziliishia kweny mirad mikubwa
 
Back
Top Bottom