Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

ibaki miezi sita lakini tunauliza zile status za kwenye portal zinamaanisha nini mkuu?kama hazina maana tukalime sasa kijijini maana kipindi cha mvua ndo hiki
Zinamaana Kwa System Na Watumiaji Ila Haziaminiki for 100%. Kwa Sababu Huwa Zinabadilika Kulingana Na Mahitaji Ya Wakati Husika.
Wait for Pdf.
Usifate Status.
 
Matumiz
Matumizi yasio na lazima ni mengi sana kama wakiwa wqzalendo wa kweli jobless weng watapta kazi
Katika huo uzalendo wa kweli, ukitekelezwa ipasavyo, huu msamiati "kulamba asali" hautotumika tena. Na zaidi hata wataokuwa wamepata hizo nafasi watakua wanatimiza majukumu kama wanafanya adhabu.
 
Katika huo uzalendo wa kweli, ukitekelezwa ipasavyo, huu msamiati "kulamba asali" hautotumika tena. Na zaidi hata wataokuwa wamepata hizo nafasi watakua wanatimiza majukumu kama wanafanya adhabu.
lakini sasa wakiona kama adhabu waachie wenye uzalendo wafanye kazi
 
Duh kumbe hata hiz ambazo watu wamefanya saili wanaweza kusitisha ,Ngoja tufanye yetu
2013 kuna wale jamaa wa SUA wanasoma LAB, waliajiriwa kupitia sekritariati, wakapangiwa vituo vya kazi kada ya afya, HRs wakawapa barua za ajira ile inaonyesha hadi mshahara, walipopandisha paticulars zao kwenye mfumo (LAWSON) wakawaambia course waliosoma haitambuliwi na mfumo. HRs wakawaita wakawaambia waje na barua za ajira kuna kitu kilikosewa, ndo asali ikawa imeyuka hivyo.
 
Hv hyo cheki namba ni Namba ya nn na nan mwenye jukumu la kuitengeneza
 
Haya mambo naona kumbe ni magumu sana aseeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…