😂😂😂😂😂Hahhhhh mzee sio siku nyingi tunaanza kukuita boss aseeh nawaza ningepata chance nikapige ile interviewHii komenti imezunguka sana kwenye serikali ya oblongata wangu hapa ikiwa inachambiliwa neno kwa neno[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Hahhhhh mzee sio siku nyingi tunaanza kukuita boss aseeh nawaza ningepata chance nikapige ile interviewHii komenti imezunguka sana kwenye serikali ya oblongata wangu hapa ikiwa inachambiliwa neno kwa neno[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nimeapa sitahangaika na status nitasubiri tu PDF.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesoma yale madini mzee?zile status bhna Zina maana yake ila maana yake ndo hatujaambiwa sasa hahhh
Ni balaa , kwa nyomi lililopo kitaa unaona mpaka uvivu kwenda kufanya interview .Alivuruga mfumo wa ajira mpk ss mambo magumu nyomi kubwa mno lipo kitaa
😂😂😂😂Mimi nimeapa sitahangaika na status nitasubiri tu PDF.
Mnavyoendelea kuijadili na mimi naendelea kuwachora kwa kuwapa like.
Kimya tu mkuuDuh pole sana aisee vip hawatoi Tena hivi karibuni?
😂😂😂😂😂Kwahiyo mkuu umeona bora tuuwawe tu aseeh kweli jobless hathaminiki 😂Ni balaa , kwa nyomi lililopo kitaa unaona mpaka uvivu kwenda kufanya interview .
Ingewezekana JWTZ waajiri jobless wote halafu wawapige bootcamp ya miezi sita then wapelekwe Ukraine .[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,Au mnasemaje jobless wenzangu ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndo maana watu wanapambania mkate wa taifa mkuu
Ndugu yetu mwifwa baada ya muda mfupi atakuwa mbali sana maana hio taasisi yake kwa safari tu inatosha kumlisha mwaka mzima
Alipigiwa na mwajiri yupi?Kuna mwamba alipigiwa simu kabisa akaripoti kazini maisha sio fair
Hilo haliwezi kutokea..[emoji23][emoji23][emoji23]Anataka walie njaa kama sisi
Kwani unadhani mtu unapenda bhas, yaan inakuja tu....we mwenyewe utaona🤣Mimi nimeapa sitahangaika na status nitasubiri tu PDF.
Mnavyoendelea kuijadili na mimi naendelea kuwachora kwa kuwapa like.
Jambo kama jambo [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Joline Kato fikiria fikiria kidogo tunaweza kutengeneza Jambo aseeh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kuachwa tu ni kuachwa kwa maneno makali demu ananiambia una gari wewe?haya na tukipata watoto hao watoto watakula degree?mamaeeee hahhhh [emoji23]
Nishatimiza wajibu wangu wa kufika oral na kuifanya. Sasa imebaki uamuzi wao. Huku mimi nikijiona sina changu pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh mzee sio siku nyingi tunaanza kukuita boss aseeh nawaza ningepata chance nikapige ile interview
Halafu akawatengenezea vitambulisho vya umachinga ili mtembeze vyupi vya wachina na ice cream za bakhresa barabarani , aisee hii nchi hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kati ya vitu vilivyonifanya nimchukie yule mzee, ni hili la kujaza jobless mtaani bila kuwa na njia ya kulitatua.
Unaonaje waanze na wewe, wakubrush tu wiki kadhaa then usepeshwe kwa Zelenky ukaoneshe umahiri[emoji3][emoji3][emoji3]Ni balaa , kwa nyomi lililopo kitaa unaona mpaka uvivu kwenda kufanya interview .
Ingewezekana JWTZ waajiri jobless wote halafu wawapige bootcamp ya miezi sita then wapelekwe Ukraine .[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,Au mnasemaje jobless wenzangu ?
Prok karudi mjini atakuwa yuko busy sana na shughuli zake. Unaweza kuta anaandaa mashauri ya wateja wake huko
Tamisemi mzee ilikuwa ishapita mwezi mzima akapigiwa akaripotiAlipigiwa na mwajiri yupi?
😂😂😂😂Anaanda masurufu sijui aaah wanajua wenyeweProk karudi mjini atakuwa yuko busy sana na shughuli zake. Unaweza kuta anaandaa mashauri ya wateja wake huko