Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kabisa , maana si kwa manyanyaso haya wanayotupa , msongo wa mawazo kitaa huku tunaitwa wanaume suruali halafu na utumishi nao bado wanatufokea
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeeh afu wakati huo sio ananiambia tunaonana hiyo tupo kwenye simu ananiambia Sasa wewe huna kazi hao watoto watakula degree mamaeee afu sijakaa vizuri kapost yupo kwenye gari wakati huo najua baba ake Hana gari nikajua tayari jobless mwendo nimeumaliza vita nimepigana lakini vimenishinda[emoji23]
Hahahahaa, pole sana mkuu
 
Yani ndo nikawaza sana maana maombi nilimfanyia mimi [emoji23][emoji23][emoji23]nikasema au mimi Nina gundu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungemuomba namba ya mjomba wake then ukatupa sisi wengine nao turuke naye
 
Back
Top Bottom