Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Mara paap utasikia re-advertise[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara paap utasikia re-advertise[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa ,ukikumbuka msoto wa engineering ,Dah ,sema fresh tunajikaza kibishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtaani waliuliza Umesoma nini unatamani hata ulie
Sawa mkuu sisi tunasubiri lift[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante sana ngoja nikaulizie bei ya Subaru kwanza
😂😂😂😂ikiwa readvertised itabidi nizidishe heshima na salamu kwa boss hapaMara paap utasikia re-advertise[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😅😅😅 weka mbali na watoto hiyo, stem cells lazima zishtuke kiainaMara paap utasikia re-advertise[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuishi humo aseehKabisa ,ukikumbuka msoto wa engineering ,Dah ,sema fresh tunajikaza kibishi
😂😂😂😂aaaah we uhakika mzee wamesema pale per diem kila siku ushindwe wewe tuSawa mkuu sisi tunasubiri lift
Ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya tuendelee na mada ya utumishi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Serious kabisa nazama pm mkuu ujobless sio kilema aseeh hako kaavatar sindo wewe au
😂😂😂😂Yani hiyo kama ipo automatically ukijaribu tu kuangalia siku moja ujue kila siku hiyo utaingaliaKwani unadhani mtu unapenda bhas, yaan inakuja tu....we mwenyewe utaona🤣
😂😂😂Utumishi wamesema mwezi ujaoYa kale yamepita tazama yamekuwa mapya tuendelee na mada ya utumishi mkuu[emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kabisa , maana si kwa manyanyaso haya wanayotupa , msongo wa mawazo kitaa huku tunaitwa wanaume suruali halafu na utumishi nao bado wanatufokea
Huku tukiwasubiri tuendelee na maombi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Utumishi wamesema mwezi ujao
Hahahahaa, pole sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeeh afu wakati huo sio ananiambia tunaonana hiyo tupo kwenye simu ananiambia Sasa wewe huna kazi hao watoto watakula degree mamaeee afu sijakaa vizuri kapost yupo kwenye gari wakati huo najua baba ake Hana gari nikajua tayari jobless mwendo nimeumaliza vita nimepigana lakini vimenishinda[emoji23]
Kila la kheri mkuuMi Niko tayari aisee
Hakika kila siku nawaombea waweke jina langu kwenye placement na itakuwa hivyo nikisha amini najua tayari imekuwaHuku tukiwasubiri tuendelee na maombi sasa
Asingeharibu mfumo wa ajira, majengo ya Dr. Asha Rose Migiro nisingeyafahamu[emoji3][emoji3][emoji3]Aisee yule mzee akili zake alikuwa anazijua yeye mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Kwahiyo jobless nikipata hela naomba nisipangiwe matumiziHahahahaa, pole sana mkuu
😂😂😂😂Yale majengo tumeyajua kwa ulazimaAsingeharibu mfumo wa ajira, majengo ya Dr. Asha Rose Migiro nisingeyafahamu[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani ndo nikawaza sana maana maombi nilimfanyia mimi [emoji23][emoji23][emoji23]nikasema au mimi Nina gundu
Hata sasa mkuu, tekeleza hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ikiwa readvertised itabidi nizidishe heshima na salamu kwa boss hapa