Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii komenti imezunguka sana kwenye serikali ya oblongata wangu hapa ikiwa inachambiliwa neno kwa neno[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hahhhhh mzee sio siku nyingi tunaanza kukuita boss aseeh nawaza ningepata chance nikapige ile interview
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesoma yale madini mzee?zile status bhna Zina maana yake ila maana yake ndo hatujaambiwa sasa hahhh
Mimi nimeapa sitahangaika na status nitasubiri tu PDF.

Mnavyoendelea kuijadili na mimi naendelea kuwachora kwa kuwapa like.
 
Alivuruga mfumo wa ajira mpk ss mambo magumu nyomi kubwa mno lipo kitaa
Ni balaa , kwa nyomi lililopo kitaa unaona mpaka uvivu kwenda kufanya interview .
Ingewezekana JWTZ waajiri jobless wote halafu wawapige bootcamp ya miezi sita then wapelekwe Ukraine .[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,Au mnasemaje jobless wenzangu ?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kwahiyo mkuu umeona bora tuuwawe tu aseeh kweli jobless hathaminiki πŸ˜‚
 
Ndo maana watu wanapambania mkate wa taifa mkuu

Ndugu yetu mwifwa baada ya muda mfupi atakuwa mbali sana maana hio taasisi yake kwa safari tu inatosha kumlisha mwaka mzima
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa ule ushindani aisee, mimi wa kuchechemea sina changu
 
Mimi nimeapa sitahangaika na status nitasubiri tu PDF.

Mnavyoendelea kuijadili na mimi naendelea kuwachora kwa kuwapa like.
Kwani unadhani mtu unapenda bhas, yaan inakuja tu....we mwenyewe utaona🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kuachwa tu ni kuachwa kwa maneno makali demu ananiambia una gari wewe?haya na tukipata watoto hao watoto watakula degree?mamaeeee hahhhh [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Pole sana JOBLESS DARAJA LA II
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh mzee sio siku nyingi tunaanza kukuita boss aseeh nawaza ningepata chance nikapige ile interview
Nishatimiza wajibu wangu wa kufika oral na kuifanya. Sasa imebaki uamuzi wao. Huku mimi nikijiona sina changu pale
 
Kati ya vitu vilivyonifanya nimchukie yule mzee, ni hili la kujaza jobless mtaani bila kuwa na njia ya kulitatua.
Halafu akawatengenezea vitambulisho vya umachinga ili mtembeze vyupi vya wachina na ice cream za bakhresa barabarani , aisee hii nchi hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaonaje waanze na wewe, wakubrush tu wiki kadhaa then usepeshwe kwa Zelenky ukaoneshe umahiri[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Prok karudi mjini atakuwa yuko busy sana na shughuli zake. Unaweza kuta anaandaa mashauri ya wateja wake huko
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Anaanda masurufu sijui aaah wanajua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…