Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii komenti imezunguka sana kwenye serikali ya oblongata wangu hapa ikiwa inachambiliwa neno kwa neno[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mkuu life is a struggle

Wengi wameitwa ila wachache ndio waliochaguliwa

Cha muhimu ni kuomba Mungu tuwe kwenye hilo kundi la wachache.
 
Hahahahaaa, noma sana aisee.

Hata DUCE sikuwahi kufika tangu nije mjini mwaka 2012, ila nilipelekwa kupafahamu na Utumishi[emoji1787][emoji1787]
Hahaaaa ule usahili wa TRA waliokusanyika pale uwanja wa Taifa kwa mkapa ndio niliamini hii nchi iko kwenye hali mbaya ,duh ! Wasakatonge wengi kama siafu ,duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,Ila utumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…