Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawaaa watakua washapigiwa simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawaaa watakua washapigiwa simu
Huyo ngamia akipita kwenye tundu la sindano basi mtajua kweli ni freemason[emoji3][emoji3]Tutaanza kumuita freemason bhanaah
Acha tumpee tabu kwanza Mr Jobless wizy[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hujamsikiaga bambo " nacheka lakin naogopaa" 😆, huoni dalili si nzur kiongozUmejuaje mzee
Mkuu ukitaka kuwapatia hawa we fanya mambo yako mengine tu utashangaa mambo yanajipa tu yenyewe.Hujamsikiaga bambo " nacheka lakin naogopaa" [emoji38], huoni dalili si nzur kiongoz
Hii komenti imezunguka sana kwenye serikali ya oblongata wangu hapa ikiwa inachambiliwa neno kwa neno[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Word Up...sikupingi, acha tuone yatakayojiriMkuu ukitaka kuwapatia hawa we fanya mambo yako mengine tu utashangaa mambo yanajipa tu yenyewe.
NdioMkuu wale jamaa zako wa ORCI uliwapata?
😂😂😂😂Ndo mtindo wa siku hizi nasikiaUmejuaje mzee
😂😂😂😂😂Hahhhhh mimi wakisubutu kupiga simu nawafata ofisini kwao wakaniambie vizuriAcha tumpee tabu kwanza Mr Jobless wizy
Walikwambiaje kuhusu statusNdio
Watatu shortlisted wawili selected for oral lakini tulikubaliana humu status hazina effect mzee kwahiyo tusubili pdfWalikwambiaje kuhusu status
Naelewa mkuu, nimeuliza tu.Watatu shortlisted wawili selected for oral lakini tulikubaliana humu status hazina effect mzee kwahiyo tusubili pdf
Alaf post inataka watu wawiliWatatu shortlisted wawili selected for oral lakini tulikubaliana humu status hazina effect mzee kwahiyo tusubili pdf
Hizi status hazieleweki kiongozi Yani kila mtu ana yake 😂Naelewa mkuu, nimeuliza tu.
😂😂😂😂Ndio ndio afu kwenye app wawili selected for watatu not selected forAlaf post inataka watu wawili
Hio ya ORCI walikua wanataka wawili?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ndio afu kwenye app wawili selected for watatu not selected for
Hahaaaa ule usahili wa TRA waliokusanyika pale uwanja wa Taifa kwa mkapa ndio niliamini hii nchi iko kwenye hali mbaya ,duh ! Wasakatonge wengi kama siafu ,duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,Ila utumishiHahahahaaa, noma sana aisee.
Hata DUCE sikuwahi kufika tangu nije mjini mwaka 2012, ila nilipelekwa kupafahamu na Utumishi[emoji1787][emoji1787]
Hahaa😂😂😂😂Ndio ndio afu kwenye app wawili selected for watatu not selected for