Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naombeni msaada ndugu zangu nilimwombea mdogo wangu nafasi ya kazi BAKITA cha ajabu hawajamuita kwenye usaili kwa sababu wanadai hajapitisha barua kwa mwajiri wake huku hajajiriwa nashangaa sana sekretarieti haya mambo sekretarieti wameanza lini mtu hana ajira wanasema hajapitisha barua yake kwa mwajiri.
 
Duuu pole sana.
 
Naomba kuuliza kwa waelewa wa utumishi, hv ikatokea mtu alikuwa serekalini hapo kabla then akawa aliacha kazi na kufanya kazi kwenye private kwa miaka kama Saba hv na Sasa ameomba na kupata kazi serekalini tena na ikabainika mtu huyo tayari alikuwa na check number, inaweza kuathiri Ajira yake?
 
Wengi huwa wanafanya siri wasitambulike ngoma ikitiki wanafanya taratibu za kuhamisha mshahara na taratibu nyingine
 
address uliandika ya bakita au ya psrs? kn uliandika ya bakita inaweza kua sabab kuna mshikaj wangu alikosea hapo wakamtema sabab wakamwandikia Application not addressed to Secretary PSRS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…