makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Tuvute subra kama ni ng'ombe kashaliwa kila kitu imebaki mkiaNani kakwambia Mkuu..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuvute subra kama ni ng'ombe kashaliwa kila kitu imebaki mkiaNani kakwambia Mkuu..?
Mkuu Sensa si imeshaishaa..
ni muda sasa wakuitwa watu makazinii
Labda hadi usiku mnene kama zile shortlistsMda wowote placement
Hahha mida ya saa 5, watoto wakiwa wamelalaLabda hadi usiku mnene kama zile shortlists
Me ningewashauri tu nyie mnaosubiri placements muendelee na mambo mengine pamoja na kuangalia michongo mingine, otherwise niwajuavyo utumishi unaweza ukawa na matumaini nao sana then wakaja wakakusuprise ukabaki kuwa disappointed.Hahha mida ya saa 5, watoto wakiwa wamelala
Yote mema tyuMe ningewashauri tu nyie mnaosubiri placements muendelee na mambo mengine pamoja na kuangalia michongo mingine, otherwise niwajuavyo utumishi unaweza ukawa na matumaini nao sana then wakaja wakakusuprise ukabaki kuwa disappointed.
Ila mkuu naona unawaza sana kuhusu placements.. jina lako lipo we kuwa Mpole tu kjnaYote mema tyu
Mambo ya kwenda dodoma yawe na mwisho kaka Kila mwakaIla mkuu naona unawaza sana kuhusu placements.. jina lako lipo we kuwa Mpole tu kjna
Duuu pole sana.Naombeni msaada ndugu zangu nilimwombea mdogo wangu nafasi ya kazi BAKITA cha ajabu hawajamuita kwenye usaili kwa sababu wanadai hajapitisha barua kwa mwajiri wake huku hajajiriwa nashangaa sana sekretarieti haya mambo sekretarieti wameanza lini mtu hana ajira wanasema hajapitisha barua yake kwa mwajiri.
Wengi huwa wanafanya siri wasitambulike ngoma ikitiki wanafanya taratibu za kuhamisha mshahara na taratibu nyingineNaombeni msaada ndugu zangu nilimwombea mdogo wangu nafasi ya kazi BAKITA cha ajabu hawajamuita kwenye usaili kwa sababu wanadai hajapitisha barua kwa mwajiri wake huku hajajiriwa nashangaa sana sekretarieti haya mambo sekretarieti wameanza lini mtu hana ajira wanasema hajapitisha barua yake kwa mwajiri.
Yataisha tu mungu ni mwema mkuuMambo ya kwenda dodoma yawe na mwisho kaka Kila mwaka
AhsanteDuuu pole sana.
AhsanteDuuu pole sana.
Wengi huwa wanafanya siri wasitambulike ngoma ikitiki wanafanya taratibu za kuhamisha mshahara na taratibu nyingine
Umenielewa nilichoandika siri gani wakati mtu hajajiriwa?Wengi huwa wanafanya siri wasitambulike ngoma ikitiki wanafanya taratibu za kuhamisha mshahara na taratibu nyingine
address uliandika ya bakita au ya psrs? kn uliandika ya bakita inaweza kua sabab kuna mshikaj wangu alikosea hapo wakamtema sabab wakamwandikia Application not addressed to Secretary PSRSNaombeni msaada ndugu zangu nilimwombea mdogo wangu nafasi ya kazi BAKITA cha ajabu hawajamuita kwenye usaili kwa sababu wanadai hajapitisha barua kwa mwajiri wake huku hajajiriwa nashangaa sana sekretarieti haya mambo sekretarieti wameanza lini mtu hana ajira wanasema hajapitisha barua yake kwa mwajiri.