Utapata tu kila mtu kapangiwa wakati wake kwahiyo tuwe na subira
Ahsante....zamu yangu haijafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante....zamu yangu haijafika
Meteorologist IIKada gani mkuu? Siku hizi kazi
Kama ni hiyo upo database mzee lakini huwa zinatoka mbona mwaka Jana siwalitoa mbili mwaka huu naneMeteorologist II
Kama ni zile post 3, watu walipigiwa simu mwezi uliopita. Mwanangu mmoja naye aliitwa akakacha interview ya NAOT ya 27Oct. Waliitwa watu 50 na wilaya yake walipangwa wanne.Afisa kilimo ii
Na zitoke tu maana hali si haliKama ni hiyo upo database mzee lakini huwa zinatoka mbona mwaka Jana siwalitoa mbili mwaka huu nane
Tuwe na subira piaNa zitoke tu maana hali si hali
Kozi uliyosoma inaitwaje? Unaweza kupangiwa kazi tofauti na hiyoMeteorologist II
Nitumie LinkHebu idoawlod tuwe na uhakika
Ingia play store andika ajira portalNitumie Link
Bsc in Meteorology taasisi Tanzania meteorological authority mostly tunafanya kazi hapo mara chache sana NEMCKozi uliyosoma inaitwaje? Unaweza kupangiwa kazi tofauti na hiyo
wanakuaga watu wa math au phyz au hydrology lakini lazima uwe na postgraduate ya meteorologyKozi uliyosoma inaitwaje? Unaweza kupangiwa kazi tofauti na hiyo
Cjaiona,,,ina logo gani??Ingia play store andika ajira portal
Bsc imeanza kutolewa juzi tu udsm sio?Bsc in Meteorology taasisi Tanzania meteorological authority mostly tunafanya kazi hapo mara chache sana NEMC
Logo ya nembo ile ya taifaCjaiona,,,ina logo gani??
Nemc hawajatoa kazi muda mrefu utapata, pia miez hii ya kanzi data unaweza kuitwa tma tena, kazi zipo nowCjaiona,,,ina logo gani??
Kabisa kila mtu na ujuzi wakeHUMU NDANI KUNA WATAALAMU MBALIMBALI
Wewe unatibu kansa ya damu orciKabisa kila mtu na ujuzi wake
Wewe unatibu kansa ya damu orci
Tushasema PDF ndio mchawi wa mwisho baada ya Oral, endeleeni tu kukomaa na statusWale wa status m ilikuwa inaandika shortlisted nimekosa