Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Sometimes hii issue ya status naona kama tunaleta utoto. Let's get serious guys yes we're joblessness lakini sio wapumbavu. Inasikitisha tunajadili issue ya status hali ya kua haijawahi define kitu chochote katika placement.Tushasema PDF ndio mchawi wa mwisho baada ya Oral, endeleeni tu kukomaa na status
We're better than this kukosa kazi haimaanishi kua hatuna akili ya kujua issue za msingi na upumbavu.