Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sawa sisi ni jobless Ila hayo mamabo ya status tuachane nayo yatawatia pressure na mkajinyonga Bure.. mbona watu wanapangiwa tu vituo hata kutoka kanzidata na hzo status hazionekanai Kam zina impact yoyote..
Humu tunataka tips za Interview, placements, maswali ya oral and written ili watu tufike Oral.. mambo za kupangiwa kituo bahati pia inahusika.. so Punguzeni Ushamba basi..
Interview tushafanya sana, issue placement
 
Jobless mmeanza kutukana😂😂😂😂😂😂😂kwakweli tuna hali mbali pia huu uzi ulikuwa umebase zaidi kuhusu placement ambazo ndo hizo tulidhani zinahusiana na status ,lakini hapo kati watu wakaanza kuuliza maswali humu kuhusu interview na jinsi yakujibu kwahiyo yakawa yanajibiwa humu na aliyekuwa anajua au anaelewa alielewesha wengine
Lakini huu uzi haikuwa wa maswali kama ni maswali kuna uzi wake pia ulianzishwa ambapo maswali mengi yapo kule pia
Tuangalie pia kueleweshana humu maana naamini Kuna wanaojua zaidi yetu humu ndo maana wewe unaweza kufeli written lakini mwenzio akapata 90 na wala hakuwa na kimemo ni jinsi alivyofata miongozo
 
Back
Top Bottom