Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ttzo wanatoa nafsi nying kwa post ambazo watu weng hawana qualifications post zinabki wazi...ingekua ni TA wasingereadvtse post zote hizo
Kitu kingine wasichokijua ni kuwa,watu wanasoma Master na PhD wakiwa tayari wana kazi zao, ili kujinoa vizuri kwa ajili ya kazi anayoifanya, jambo hili linafanya watu wenye master wasio na kazi kukosekana.
 
Mimi jamani Nina barua mkononi narudia Tena ukishafika oral status hazina maana Tena Kuna wadau status zao zipo shortlisted wanabarua mie IPO selected for oral ninabarua haya pia hapa mdau kwenye huu Uzi aliyekosa kazi IPO shortlisted achana na status
Vipi na alie andikiwa Not Shortlisted na amefika oral
 
Back
Top Bottom