Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkinipa mamlaka ya kusummarize mjadala mrefu, naweza kusema mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka utumishi moja kwa moja kuhusu suala la status.

Ila simu na PDF ndivyo vimeonekana ni hitimisho la kweli. Kwa kuongezea zaidi, ikitangulia PDF hutakuwa na haja ya kusubiri simu kwa hamu, ila kwa upande mwingine ukisikia imetangulia simu na wenzako wamepigiwa kasoro wewe, achana na kusubiri PDF fanya mambo mengine.
Ahsante kwa ufupisho wa taarifa mkuu
 
Wengi walikua Kama yeye Ila baada ya kupata kazi wamenunua 'crown' na kufunga vioo. Biashara tena no.
Kuna watu wanafanya biashara kwa sababu mbalimbali bro..yupo anaefanya biashara sababu Hana kitu kingine Cha kufanya huyu Sasa akipata kazi lazima biashara ataacha.

Ila Kuna yule mtu anafanya biashara sababu ni kitu anakipenda..huyo hata awe rais Kila anapokwenda jambo la kwanza jambo la kwanza ye ni kugundua fursa..huyu haachi biashara hata iweje
 
Back
Top Bottom