Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,718
Interview tushafanya sana, issue placementSawa sisi ni jobless Ila hayo mamabo ya status tuachane nayo yatawatia pressure na mkajinyonga Bure.. mbona watu wanapangiwa tu vituo hata kutoka kanzidata na hzo status hazionekanai Kam zina impact yoyote..
Humu tunataka tips za Interview, placements, maswali ya oral and written ili watu tufike Oral.. mambo za kupangiwa kituo bahati pia inahusika.. so Punguzeni Ushamba basi..