Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ahsante kwa ufupisho wa taarifa mkuu
 
Wengi walikua Kama yeye Ila baada ya kupata kazi wamenunua 'crown' na kufunga vioo. Biashara tena no.
Kuna watu wanafanya biashara kwa sababu mbalimbali bro..yupo anaefanya biashara sababu Hana kitu kingine Cha kufanya huyu Sasa akipata kazi lazima biashara ataacha.

Ila Kuna yule mtu anafanya biashara sababu ni kitu anakipenda..huyo hata awe rais Kila anapokwenda jambo la kwanza jambo la kwanza ye ni kugundua fursa..huyu haachi biashara hata iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…