OZAN KABAK
Member
- Dec 18, 2021
- 73
- 72
Unaonekana sio mvumilivu hauna subra nyie ndio mkipata kazi za Serikali mnaanza kuiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madereva wanapata nafasi nyingi sana kutoka kanzi data halafu wanaingia kila sehemu yaani kupiga kazi.Aisee nazidondoshea mate hizo za uderva natamn ningekua dereva [emoji1787][emoji1787]
Kuna mwamba kapandisha uzi ana BBA halafu kashapiga pindi NIT ana leseni. Alikuwa anatafuta muongozo wa kujaza Ajiraportal maana tangu mwanzo alijaza hiyo BBA, sasa anataka angalau aweke UderevaBwana wee nataman kuisaliti degree [emoji1787][emoji1787]
Hakupitia huku PSRS?Ukiwa una degree halafu una leseni ya udereva unaruhusiwa kuomba kazi ya udereva? Nina jamaa yangu aliingia tanesco kuchimba mashimo baadaye walipotangaza kazi ya profession akatoa vyeti chapu wakamchukua
Mwenye shibe hawezi kumjua mwenye njaaUnaonekana sio mvumilivu hauna subra nyie ndio mkipata kazi za Serikali mnaanza kuiba.
Hakupitia, tanesco walikua hawajaanza kuitumia psrsHakupitia huku PSRS?
Unajua tumekaa mtaani muda gani mzee?unajua tunapitia mangapi huku mtaani au unaongea kwakua una kazi?unajua tumefeli mara ngapi hizi interview mpaka kufika hapa ?usiongee tu kuwa hatuna uvumilivu kiongozi jaribu kufikiria kwa upana haya mambo yanaumiza sanaUnaonekana sio mvumilivu hauna subra nyie ndio mkipata kazi za Serikali mnaanza kuiba.
Hii taasisi gani? Nisije nikawa nasubiri pdf kumbe watu wanalamba asali nowUnataka ushahidi gani? Amini unachoambiwa mkuu. Huyu ni ndugu yangu na ndiye aliyempa nguvu ya kwenda written ya naot baada ya kuona kumbe nafasi zinawezakuwa 3 lakini mkachukuliwa hata 50. Jamaa alipigiwa simu kama utani wakati oral alijua kachemka
Aisee!the meaning of mwenye shibe hamjui mwenye njaa 🤣🙌Unaonekana sio mvumilivu hauna subra nyie ndio mkipata kazi za Serikali mnaanza kuiba.
Msoto tunao pitia huku uraiani ungeujua, usingesema hayo.Kwa kifupi subra huku inageuka shubiri, sababu ya kutokuwa na ratiba kamili ya uendeshaji wa Ajira Portal.Hapa Kuna Watu wame apply kazi tokea mwezi wa tano mpaka sasa awajaitwa .Vipi kama wiki ijayo wakiitwa na nauli hawana au wamekula tayari?Vipi tunao toka mikoani kwenda Dodoma Kupiga mtihani nafasi Moja Watu 1000+,tumekosa uvumilivu?Unaonekana sio mvumilivu hauna subra nyie ndio mkipata kazi za Serikali mnaanza kuiba.
Aende utumishi akawaombe watoe cheti chake cha BBA na form six, zen aweke cha NIT, na aweke na leseni yake ila lazima iwe angalau na madaraja yafuatayo, D, E, C1, C2 na C3. Kopi ya Viambata vyote hivi atakavyo weka asisahau kupeleka kwa mwanasheria au mahakamani ku certify. Pia akumbuke ba ku updated Cv, pale kwenye academic aweke mwisho form 4,Kuna mwamba kapandisha uzi ana BBA halafu kashapiga pindi NIT ana leseni. Alikuwa anatafuta muongozo wa kujaza Ajiraportal maana tangu mwanzo alijaza hiyo BBA, sasa anataka angalau aweke Udereva
😂😂😂😂Ndo maana nasema jobless tunadhalaurika sana yani jamaa katuona kama mafisadi aseehAisee!the meaning of mwenye shibe hamjui mwenye njaa 🤣🙌
Ni bora tukiwa tunawaza / mnawaza placement, tuwaze / tutamani nafasi mpya za ajira za kutosha zitangazwe, tuweze kuomba, maana tunaweza wekeza mawazo yetu kwenye placement alafu watu wengi wakatoka database,au mara paa tangazo likawa re-advertise. Au nafasi izo zikapigwa chin nk.
Placement Ni muhimu mno kutoka mapema maana Kuna interview zingine nyingi watu wanasubiria kufanya lakini shida inakuja mtu anakuwa hajui Kama ya mwanzo kapata au kakosa, hana mood ya kusoma Tena akiwa na matumaini ya kupata huku mwanzoSasa mkuu watangaze zingine wakati hata tulizoomba tu zingine hatujafanya interview na zile tulizofanya hawajatupa feedback ,kwasababu hata kama mtu umekosa basi inatakiwa ujue ili ujiandae kama watareadvertise
KabisaPlacement Ni muhimu mno kutoka mapema maana Kuna interview zingine nyingi watu wanasubiria kufanya lakini shida inakuja mtu anakuwa hajui Kama ya mwanzo kapata au kakosa, hana mood ya kusoma Tena akiwa na matumaini ya kupata huku mwanzo
Ahsante kwa ufupisho wa taarifa mkuu
Hii wiki yote wanadondosha placements mbalimbaliDah nimeshtuka alfajir hii nikasema ngoja nikachek mkeka huko PSRS labda watakuwa wameupandisha night kali,nakutana na kuitwa tu kwenye usaili wa hizi Halmashauri zetu Ikiwemo kule BAHI ,Dodoma kwa mzee Matata Kipepeo Jungu.Ngoja niendelee kuvuta shuka mpaka morning labda wanaweza wakapost mchana
😂😂😂😂😂 Jobless unatufariji sana mzeeHii wiki yote wanadondosha placements mbalimbali
😂😂😂😂😂Hapo ndo unatamani ungesomea utendaji au udereva tuDah nimeshtuka alfajir hii nikasema ngoja nikachek mkeka huko PSRS labda watakuwa wameupandisha night kali,nakutana na kuitwa tu kwenye usaili wa hizi Halmashauri zetu Ikiwemo kule BAHI ,Dodoma kwa mzee Matata Kipepeo Jungu.Ngoja niendelee kuvuta shuka mpaka morning labda wanaweza wakapost mchana