Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂😂😂😂Hapo ndo unatamani ungesomea utendaji au udereva tu
Kabla hujaupata mrija wa asali tayari unajua umejifunza umuhimu wa Kila mtu maana tukiwa vyuoni Kuna zile dharau za course Moja kudharau mwingine,lakini sa hvi Kuna waliotamani kuwa walimu,madereva,watendaji,masijala🤣🤣hii inatufanya tujifunze kuwa humble kwa Kila mtu
 
😂😂😂😂Hahhhh lazima tuheshimiane tu mwaka huu
 
Ukiwa una degree halafu una leseni ya udereva unaruhusiwa kuomba kazi ya udereva? Nina jamaa yangu aliingia tanesco kuchimba mashimo baadaye walipotangaza kazi ya profession akatoa vyeti chapu wakamchukua
Mkuu kazi ya Udereva ni ya kitaaluma sio kama zile za wachimba mashimo au wasimika nguzo wanaopakiwa kwenye kalandinga. Ndio maana wanahitaji vyeti vya kitaaluma na Leseni ambapo huwa wanataka mtu aliesoma VETA.

Jibu la swali lako ni hapana.
Kigezo wanachoangalia ni vyeti vyako ulivyo upload katika portal kama ajira hizo zinasimamiwa na Utumishi.

Kama una ngazi kubwa mfano una Shahada (degree) na wao wanahitaji mtu mwenye Stashahada (diploma) basi hapo utakuwa huna sifa za kuomba hiyo kazi.
 
Dah nimeshtuka alfajir hii nikasema ngoja nikachek mkeka huko PSRS labda watakuwa wameupandisha night kali,nakutana na kuitwa tu kwenye usaili wa hizi Halmashauri zetu Ikiwemo kule BAHI ,Dodoma kwa mzee Matata Kipepeo Jungu.Ngoja niendelee kuvuta shuka mpaka morning labda wanaweza wakapost mchana
Wazee wa sensa mpo hadi huku
 
Back
Top Bottom