Hizi za wizara ya kilimo ilikua toka mwezi wa tano tulifanya oral, unazungumzia hizi?usiwe na hofu mkuu huo mkeka wa wizara ya kilimo bdo haujatoka kabisa. Some individual are too pessimistic and negative mentality. Jiandae na usahili pasipo kusahau Mds za mchumi taasisi ya bunge nazo hazijatoka.
Alikaa muda gaani ndo kuitwa ,,toka kwny kanzidata?? Na sahv kanzi data kukaa ni miezi 6 au mwaka 1Kwa mara ya kwanza nashuhudia mtu wangu wa karibu akilamba asali kutokea kanzi data.
Walipiga oral mwez wa tanoAlikaa muda gaani ndo kuitwa ,,toka kwny kanzidata?? Na sahv kanzi data kukaa ni miezi 6 au mwaka 1
Benge nafasi zipi hizi ambazo bado? Kama ni MWANDISHI RASMI WA TAARIFA ZA BUNGE, KATIBU, UGAVI, DAKTARI, MADEREVA n.k tulishafanya written & oral wale waliobahatika walishaitwa kazini wiki tatu baada ya usaili . ..waliwai sana nadhan walikuwa na uhitaji mkubwausiwe na hofu mkuu huo mkeka wa wizara ya kilimo bdo haujatoka kabisa. Some individual are too pessimistic and negative mentality. Jiandae na usahili pasipo kusahau Mds za mchumi taasisi ya bunge nazo hazijatoka.
Mwez wa 5 miez 6 ndo inamalizikia mwez huu...sf sana kongole kwakeWalip
Walipiga oral mwez wa tano
Hata kama nina shida ya kazi ila nikipangiwa wilaya ya Bahi naacha kazi hapo hapo.Dah nimeshtuka alfajir hii nikasema ngoja nikachek mkeka huko PSRS labda watakuwa wameupandisha night kali,nakutana na kuitwa tu kwenye usaili wa hizi Halmashauri zetu Ikiwemo kule BAHI ,Dodoma kwa mzee Matata Kipepeo Jungu.Ngoja niendelee kuvuta shuka mpaka morning labda wanaweza wakapost mchana
Sawa sawaHata kama nina shida ya kazi ila nikipangiwa wilaya ya Bahi naacha kazi hapo hapo.
Kwnn kiongozHata kama nina shida ya kazi ila nikipangiwa wilaya ya Bahi naacha kazi hapo hapo.
Hovyo sana, yaan moja ya wilaya mbaya kwa makazi ya watu ni hiyo nchi hii. Pia Mpwapwa hata Kongwa. Kwa kifupi ukitoa DODOMA MJINI (JIJI) kwingineko hakufai kwa makazi ya binadamu.Kwnn kiongoz
Jobless wewe ujui mbinu za kivita...ngoja nikupe mbinu sasa ukipangiwa popote nenda ila ukifika kule make mishahara yako ya miezi kadhaa zen tumia hiyo chapaa kutafuta uhamisho. Kuipata ajira sio issue simpo kama unavyodhan . Pia hata ukiwa umepata ajira bado unaruhusiwa kuomba kazi mpya zinazotangazwa na PSRS cha msingi barua ipitie kwa mwajiri wako....na ndio maana tunapoenda kwa saili tunakutana na watu wana ndiga wengi wale ni watumishi wa umma sema wanataka kuchange channel toka channel ya kawaida (tamisemi) kwenda HD (MASHIRIKA YA UMMA) ili wakarambe asali huko na uzir wake ukishakuwa mtumishi wa umma unaruhusiwa kuomba hata kama una umri mkubwa ila usizidi 45. Ndio maana zile ajira za TPA (Bandari) miaka mwisho 21 ila watumishi wa umma hata kama una zaidi ya 21 unaruhusiwa ila isizidi 45. So usiache kwenda BahiHata kama nina shida ya kazi ila nikipangiwa wilaya ya Bahi naacha kazi hapo hapo.
Bado jua halijakuwakia vizuri,utakuja kutengua kauli hapaHata kama nina shida ya kazi ila nikipangiwa wilaya ya Bahi naacha kazi hapo hapo.
Hovyo sana, yaan moja ya wilaya mbaya kwa makazi ya watu ni hiyo nchi hii. Pia Mpwapwa hata Kongwa. Kwa kifupi ukitoa DODOMA MJINI (JIJI) kwingineko hakufai kwa makazi ya binadamu.
Bado mtaa haujamunyoosha huyu😂😂😂😂Bado jua halijakuwakia vizuri,utakuja kutengua kauli hapa
Kupata check namba ndiyo kipengele,ukishapata mambo mengine yanawezekana kabisa.wakurugenzi unaowaona Leo kwenye majiji usifkiri walianzia hapoHata kama nina shida ya kazi ila nikipangiwa wilaya ya Bahi naacha kazi hapo hapo.
Imagine 🤣Ulishawahi kufika kibondo kigoma?
😂😂😂Ndo qkipangiwa huko lazima aanze kuliaImagine 🤣
Ni kweli Kuna sehem ni ngumu sana,ila inabidi ufocus tu..penye Nia Pana njia unajua..binafsi siwezi kuachia kazi niliyoisubiri kwa kufunga na kusali kwa muda mrefu kizembe tu hapana..ukishaingia kwenye mrija wa asali mbona unatoboa tu mbele kwa mbele kama injili🤣😂😂😂Ndo qkipangiwa huko lazima aanze kulia
Nimeajiriwa kitambo sana ila nimesema tu, hata kama ningekuwa na shida ya ajira huko nisingeenda, wangapi wamekataa kazi kwa kuona mazingira sio wezeshi?Kupata check namba ndiyo kipengele,ukishapata mambo mengine yanawezekana kabisa.wakurugenzi unaowaona Leo kwenye majiji usifkiri walianzia hapo
Kumbe upo kwenye ajira tayari 🤣🤣🤣hongeraNimeajiriwa kitambo sana ila nimesema tu, hata kama ningekuwa na shida ya ajira huko nisingeenda, wangapi wamekataa kazi kwa kuona mazingira sio wezeshi?
Njaa zenu ndio hufanya mnaparamia kila kazi, mkishapata mnaanza kulia na kushinda kwa waganga.
Pambania kesho yako katika ndoto kubwa, hizi ajira za zinazohusishwa na kila wilaya unaweza kuziepuka kabisa.
Nchi hii kuna maeneo unaenda kufanya kazi ambapo kiuhalisia SERIKALI au KAMPUNI inafaa ikulipe na fedha zingine za mazingira magumu kazini. Hizo wilaya mm nikiwa Rais nchi hii nawapa na posho ya mazingira magumu.
Sio rahisi kihivyo, ukiingia ndio utanielewa, kuhama sehemu moja kwenda nyingine hasa kwa watu walioko Dunia ya Giza kama hizo wilaya na kule Uvinza, Kibondo + Buhingwe ni ngumu kuhamishwa.Ni kweli Kuna sehem ni ngumu sana,ila inabidi ufocus tu..penye Nia Pana njia unajua..binafsi siwezi kuachia kazi niliyoisubiri kwa kufunga na kusali kwa muda mrefu kizembe tu hapana..ukishaingia kwenye mrija wa asali mbona unatoboa tu mbele kwa mbele kama injili[emoji1787]