Nimeajiriwa kitambo sana ila nimesema tu, hata kama ningekuwa na shida ya ajira huko nisingeenda, wangapi wamekataa kazi kwa kuona mazingira sio wezeshi?
Njaa zenu ndio hufanya mnaparamia kila kazi, mkishapata mnaanza kulia na kushinda kwa waganga.
Pambania kesho yako katika ndoto kubwa, hizi ajira za zinazohusishwa na kila wilaya unaweza kuziepuka kabisa.
Nchi hii kuna maeneo unaenda kufanya kazi ambapo kiuhalisia SERIKALI au KAMPUNI inafaa ikulipe na fedha zingine za mazingira magumu kazini. Hizo wilaya mm nikiwa Rais nchi hii nawapa na posho ya mazingira magumu.