Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu Hivi mtu ukiwa na degree mbili yaani bachelor degree ya accounting, bachelor degree ya business administration pamoja na cheti Cha udereva kutoka VETA. Hapo unajazaje infor zako za ajira portal, maana hapo Kuna kazi za aina tatu ambazo zote unaweza kuzifanya. Mfumo wa ajira portal Unaruhusu kweli ?
 
Kumbe upo kwenye ajira tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hongera
Napenda sana vijana mfanikiwe, sana tu, yaan sana tu. Pamoja na yote kuweni na ndoto kubwa. Kwann watoto wa vigogo hawapo Buhigwe au Bahi?

Hizi kazi za Halmashauri ni michosho kinoma yaani, vitendea kazi, makazi duni, fitina na nongwa, uchawi, husda, roho mbaya na kila aina ya dhiki ziko huko. Vijana mkiweza kupambana pambaneni kwenye mazuri. Mungu hakutuumba wanyonge wa kushindwa kupambania sehemu nzuri, hii ya kusema nipate check number imegharimu maisha ya watu kibao na mpaka sasa wamenasa kwenye tope la umasikini na mikopo umiza.
 
Kila mtu ana ndoto kubwa bro lakini tumetofautiana sana katika njia ya kuzifikia huko,umebahatika sawa umepata huko ulipo lakini unahisi ni rahisi hvyo mtu kupangwa kazi tu na kuiacha?unahisi Kila mtu huko kazini hcho anachokifanya ni ndoto yake wakati alishapoteza matumaini mtaani?kupanga ni kuchagua nna shuhuda za watu ambao wapo kwenye taasisi nzuri sana wanakula bata lakini walianzia huko huko,. alhamdulillah Mimi nasubiri placement Fulani kwasababu Fulani ila nipo tayar najikimu na maisha yangu mazuri tu yanaenda..vipi kuhusu kijana ambae ni mwalimu amekaa miaka 8 hajawah kuwa na ajira maisha yamemchapa kisawa sawa hata hyo ada ya kusema akasome tu course tofaut wakat anasubiri ajira Hana.unachosema ni kizuri ila kipo applicable zaidi kwa yule ambae ana uhakika na mlo wake wa siku ,bundle plus tozo
 
Aiseeeee[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Jobless inabidi tuelewe jambo moja katika kutafuta huku kwetu ajira wale ambao familia inawategemea wao ili waikomboe katika dimbwi la umaskini kwa hiyo ajira yoyote utakayoipata kkwahiyo mtu wa upande huu usijiloge ukatae kazi kisa mazingira ,utaitesa familia yako na wazazi wako
Pia Kuna wale ambao wao wanaitegemea familia katika kila Jambo hawa jobless wao huchagua kazi na mazingira kwakuwa hakuna chochote ambacho familia inawetegema kwahiyo jobless fanya maamuzi angalia na familia yako ipoje
 
Ambae si mtoto wa kigogo kugombania kazi nzuri tu anahitaji Hela,kwani ni wangapi humu wanashindwa kwenda kwenye saili za psrs sababu zikiwa ni kukosa nauli na kukosa sehem za kulala..mwingine kwa ajili ya kukosa bando tu anajikuta ameitwa kwenye usaili mpaka watu wanakandwa wanarudi ye Hana habari alafu huyu mtu unamwambia akipata bahi akate kweli?sio rahisi kaka...mi ushauri tu yeyote anaepambania ndoto zake anzia hapohapo ulipo alafu tukutane kwenye ulimwengu wa perdiem...ukiridhika kubaki bahi sawa ukikomaa kwa uchungu na mapambano ufike unapotaka ni Bora zaidi..
 
Ubaya vijana wanawaza Bata sana nasio maisha ...kuna sehem zingne watu wanazidharau lkn ni wilaya zenye fursa za uwekezaji ktk kilimo ,mifugo, biashara na mtu akatoboa mpka akatamani asiamishwe kwasababu amejiwekeza sehem hzo unazoziona mbaya ...maisha popote jamani
 
True
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu wanaoishi ni watu, ile yale maeneo hayafai kwa makazi ya Watu. Mfano wanoishi MABONDENI SI WATU? ILA HAYAO MAENEO HAYAFAI KUISHI BINADAMU.

Mimi wala sijatokea familia tajiri ila kupambania ninachokiamini, wapo rafiki zangu walipiga ONE KALI kuanzia O LEVEL hadi ADVANCE ila kwa woga wa maisha walipofika CHUO wakachagua UALIMU ili tu apate mkopo na aajiriwe haraka. Mimi nilikomaa na nilikataa kabisa utumwa huo wa fikra, nikajilipua Kozi tofauti, now walioajiriwa miaka 3 kabla yangu, nilishawaacha mbali na wanaogopa hata kunipigia simu.

Uthubutu ndio msingi wa maisha yetu, woga siku zote hukupelekea kwenye majuto makuu.

Achaneni na kazi zinazonuka SHIDA, DHIKI, DHULMA, HUSDA na FITNA kama hizo za Halmashauri.

Do your best, fanya jitihada utafanikiwa, bora uchelewe upate sehemu bora.

Kupanga ni kuchagua, UENDE BAHI, KONGWA, BUHIGWE, KIBONDO au ukapumzike OFISI ZA EAST AFRICAN COMMUNITY, Hayo ya kulelewa kwa shida na mateso ni yako.
 
Kuwekeza bila kuishi vizuri ni ujinga, raha ya pesa itumike, sasa wewe TAJIRI unaishi Kongwa pesa za nini? Sehemu hata ukiwa na pesa unabugia vumbi kila uchao, Ndugai kila siku tunapishana nae Mbezi, kule anaenda kwa wachanga kura tu.

Watanzania tumezoea shida na mateso, mnahisi hamstahili kuishi vizuri. Mmedumaa misuli na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…