Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pdf limeshiba linagoma kuapload 🤣🤣Leo naona pdf zimegoma wakuu
😂😂😂😂😂Hahhh au sioPdf limeshiba linagoma kuapload 🤣🤣
Umesema jambo hapa mkuu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾Do your best, fanya jitihada utafanikiwa, bora uchelewe
Leo kajisahau aseehYule jamaa anayepost Mapf itakuwa anasinzia wadau mwenye namba japo ambeep kidogo maana muda unayoyoma sana
Kuna mwamba kanitonya hapa kuwa anaangalia mechi ya Simba so Ngoja iishe tuone mkeka wa leoLeo kajisahau aseeh
😂😂😂😂 Jobless unatupiga kamba hahhhKuna mwamba kanitonya hapa kuwa anaangalia mechi ya Simba so Ngoja iishe tuone mkeka wa leo
Tusio na wajomba huko kwenye mirija tunapata tabu sana, kama hiviNdo hivyo mkuu wakati mwingine mtu unaumia kinoma yani unawaza unasema ipo siku unasonga mbele kama injili tukija humu kidogo tunatoa maumivu kama hivi mzee maana wakati mwingine huoni hata wakumueleza kwamba mbona wengine wanapata tu bila interview mamaeeee sana
J4 ishapita tusubiri wiki ijayoLeo naona pdf zimegoma wakuu
Hahahaaa, anasinzia kama mlinzi wa tanesco, mara paap kalalia switch na umeme unakatika.Yule jamaa anayepost Mapf itakuwa anasinzia wadau mwenye namba japo ambeep kidogo maana muda unayoyoma sana
IlikuajeWakuu naona status yangu leo imebadilika imebaki plane tu hakuna neno lolote wakuu au ndo mikando
Au mwamba ndo anapakia pdf nnWakuu naona status yangu leo imebadilika imebaki plane tu hakuna neno lolote wakuu au ndo mikando
ShortlistedIlikuaje
Huenda anapakia mkuuAu mwamba ndo anapakia pdf nn