Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂😂😂Kiongozi hizi nimezifatilia sana na wakati nilipokuwa nakosa nilikuwa naziona aseeh kwahiyo msije kudanganywa eti hazina maana ,zile Zina maana sema maana yake ndo hatujui ,zamani hizi status hazikuwaga zikiandika shortlisted for interview ,zilikuwaga zinaandika 1st interview
Pigeni simu psrs kuuliza!!!
 
Hiyo placement inaandikaje? Hamna aliyepata ajira akaandikiwa placement
Haiandiki placement hata Mimi sijui inaandikaje lakini tujue tu ile status ina maana yake unaporun code yoyote kila unachoandika kinamaana yake na Lazima kitoe output kwahiyo zile status zinaandikwa kwenye sytem kuwa huyu akifaulu oral output itatokea selected for oral
N.B hii ni kwa mimi ninavyoelewa system yoyote inavyokuwa programmed
 
Back
Top Bottom