😂😂😂😂😂Uhakika mzee guide ile inaeleza vizuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Uhakika mzee guide ile inaeleza vizuri tu
Pigeni simu psrs kuuliza!!!😂😂😂😂Kiongozi hizi nimezifatilia sana na wakati nilipokuwa nakosa nilikuwa naziona aseeh kwahiyo msije kudanganywa eti hazina maana ,zile Zina maana sema maana yake ndo hatujui ,zamani hizi status hazikuwaga zikiandika shortlisted for interview ,zilikuwaga zinaandika 1st interview
Labda ikirudi itaandika PLACEMENTStatus inapobadilikaga kutoka labda shortlisted kwenda oral huwa kwa muda fulani inakuwa plane pale kwahiyo hapo ikija kurudi inaweza kurudi vile au ikabadilika ikawa selected for oral[emoji23]
Soma kwa kutuliaa hapo utanielewa mkuuHuyu kaleta mpya status Kama hajawah kuapply!!!
Mstari wa mwisho umeelewa nini😂😂😂😂😂Uhakika mzee guide ile inaeleza vizuri tu
Haiandiki placement hata Mimi sijui inaandikaje lakini tujue tu ile status ina maana yake unaporun code yoyote kila unachoandika kinamaana yake na Lazima kitoe output kwahiyo zile status zinaandikwa kwenye sytem kuwa huyu akifaulu oral output itatokea selected for oralHiyo placement inaandikaje? Hamna aliyepata ajira akaandikiwa placement
Umesema kwenye status kweupe hakuna maandishi au?Soma kwa kutuliaa hapo utanielewa mkuu
😂😂😂😂kiingereza kigumu mzeeMstari wa mwisho umeelewa nini
😂😂😂😂Pdf itatoka tu relaxPigeni simu psrs kuuliza!!!
Ila huwa zinachangamsha sana🤣😂😂😂😂😂Sasa kubalini tuendelee kuzidiscuss status au vipi?
La kwetu litakuja na vumbi toka May la wizara ya kilimo😂😂😂😂Pdf itatoka tu relax
😂😂😂😂Watakuja kutukana humu sasahiviIla huwa zinachangamsha sana🤣
Ikiandika hvyo nyanyua bahasha la vyeti nenda kituoni kwako kaanze kazi barua watakutumia hukohukoLabda ikirudi itaandika PLACEMENT
Utafuata barua bila kuitwa unaonesha status!!!!Labda ikirudi itaandika PLACEMENT
😂😂😂😂😂Haiandiki hivyo mzeeIkiandika hvyo nyanyua bahasha la vyeti nenda kituoni kwako kaanze kazi barua watakutumia hukohuko
😂😂😂😂Hahhhh vijana wa hovyo sanaUtafuata barua bila kuitwa unaonesha status!!!!
Mnakohoa kwanza na chafya kwa wingi🤣🤣La kwetu litakuja na vumbi toka May la wizara ya kilimo
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂Hahhhh vijana wa hovyo sana
😂😂😂😂😂Pdf linakuja na vumbi hahhhhMnakohoa kwanza na chafya kwa wingi🤣🤣