Ndio lakini kule kwenye app ndo inakuletea mapicha picha huko ndo unakutana na maajabu😂😂😂😂Ila uko sawa, wale wote wa selected for oral itarudi tu shortlisted mchakato wao ukishamalizika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio lakini kule kwenye app ndo inakuletea mapicha picha huko ndo unakutana na maajabu😂😂😂😂Ila uko sawa, wale wote wa selected for oral itarudi tu shortlisted mchakato wao ukishamalizika
Kule kwenye app nadhani sio big deal, achana napo tu kuleNdio lakini kule kwenye app ndo inakuletea mapicha picha huko ndo unakutana na maajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Post zenu zilikua ngapi na oral mlikuwa wangapi mzeeNaona yule jamaa aliesema status ni kwamba mchakato umekamilika alikua right, leo jamaa wa selected for oral imerudi shortlisted...so wote shortlisted saivi.
Zote zinahusika mzee ndo maana unaweza kutumia app au webKule kwenye app nadhani sio big deal, achana napo tu kule
1 to 3Post zetu zilikua ngapi na oral mlikuwa wangapi mzee
sawa sawa1 to 3
Kwa app sijajua logic yake, ila kwa web nadhani maana yake ndio kama alivyoelezea jamaaZote zinahusika mzee ndo maana unaweza kutumia app au web
Alieleza pia hiyo ya appKwa app sijajua logic yake, ila kwa web nadhani maana yake ndio kama alivyoelezea jamaa
Sikumbuki alisemaje kuhusu app, labda akipita hapa atasema tena.Alieleza pia hiyo ya app
agricultural officer grade 11 - ministry of agriculture post zimetangazwa agasti kipindi cha sensa. Mchumi - za MDas + za ASa marketing +Economist post mkuuBenge nafasi zipi hizi ambazo bado? Kama ni MWANDISHI RASMI WA TAARIFA ZA BUNGE, KATIBU, UGAVI, DAKTARI, MADEREVA n.k tulishafanya written & oral wale waliobahatika walishaitwa kazini wiki tatu baada ya usaili . ..waliwai sana nadhan walikuwa na uhitaji mkubwa
😀😀😀Bado jua halijakuwakia vizuri,utakuja kutengua kauli hapa
noted champ. Hali tete kitaa msosi wa manati mageto ,maji ndio kabisaa.Jobless inabidi tuelewe jambo moja katika kutafuta huku kwetu ajira wale ambao familia inawategemea wao ili waikomboe katika dimbwi la umaskini kwa hiyo ajira yoyote utakayoipata kkwahiyo mtu wa upande huu usijiloge ukatae kazi kisa mazingira ,utaitesa familia yako na wazazi wako
Pia Kuna wale ambao wao wanaitegemea familia katika kila Jambo hawa jobless wao huchagua kazi na mazingira kwakuwa hakuna chochote ambacho familia inawetegema kwahiyo jobless fanya maamuzi angalia na familia yako ipoje
Kaendeleze mkuu watapandisha jioniDah nimechungulia alfajir hii wala mkeka Yule mwamba hajaupandisha ,Ngoja tukaendeleze maombi kwanza
Kumbe mpo macho wadauKaendeleze mkuu watapandisha jioni
Niamini bro tusipeane natumaini ambayo hayapo, placement baada ya miezi miwiliLeo nahisi kabisa harufu ya placement
Eeh tunafanya ibada broKumbe mpo macho wadau
Zile za mwez 9 hazifiki miez miwlil,ziko mwishoni kabisa soon zinaachiliwa..labda za NAOT na HELSB sawaNiamini bro tusipeane natumaini ambayo hayapo, placement baada ya miezi miwili