Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nishaandaa suti 2 ,moja nitatinga kutokea pale Morena Hotel mpka migiro na ya pili nitatinga kutoka pale Ngurdoto kuelekea Taasis ileeeeeeeee....Sir God atufanyie wepesi kwenye haya mambo aisee
Umesahau moka mzee na kamwamvuli Fulani hivi maana suti haitakagi jua😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom