Kabegi kakuwekea trab na trat😂😂😂😂Yah ni kweli mzee baba na moka moja kali sana na kaambrela kangu pamoja na begi Moja amazing kama lile anabebaga Yule waziri wa vicoba siku ya kusoma bajeti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabegi kakuwekea trab na trat😂😂😂😂Yah ni kweli mzee baba na moka moja kali sana na kaambrela kangu pamoja na begi Moja amazing kama lile anabebaga Yule waziri wa vicoba siku ya kusoma bajeti
Uhakika mzee jioni jioni hiviNgoja nilog out nitarud mida baada ya pdf kupandishwa now naenda kumsaidia fundi Maiko kufyatua matofoli
AmeenNishaandaa suti 2 ,moja nitatinga kutokea pale Morena Hotel mpka migiro na ya pili nitatinga kutoka pale Ngurdoto kuelekea Taasis ileeeeeeeee....Sir God atufanyie wepesi kwenye haya mambo aisee
Vijana Wana hesabu Kali sana🤣Umesahau moka mzee na kamwamvuli Fulani hivi maana suti haitakagi jua😂😂😂😂😂
Tuishi humo nshaandaga nguo zakufatia barua nikishaamini najua Mungu katendaAmeen
Na umeme hakuna🤣Mataan kugumu sana ,pesa shida,mishe hakuna na sasa hv mpaka maji hakuna
Mungu sio mchoyo kakaTuishi humo nshaandaga nguo zakufatia barua nikishaamini najua Mungu katenda
Inshallah ikawe heriMungu sio mchoyo kaka
AmeenInshallah ikawe heri
watumishi watarajiwa.....
mbona unacheka sasa ,au wewe sio mtumishi mtarajiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio boss
Tunasubiri neema za Mungu aseehmbona unacheka sasa ,au wewe sio mtumishi mtarajiwa
Naona watapiga oral tu pekeakeMDA & LGAs Call for Interview.
Watapiga oral tu direct aseeh wamekula shavu sanaWatu wa MDA NA LGAs mmelia sana haya Sasa ngoja tuwaone
wamezngatia nn hapo kuita watu oral moja kwa moja bila written?MDA & LGAs Call for Interview.
Labda huna sifaWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinacho endeleea?